Challenge ya 2011; matches na results

Challenge ya 2011; matches na results

Mungu ibariki Tanganyika tushukua hili kombe tangu mwaka 94 daah
 
Mungu tusaidie leo hata sisi tufurahi tumechoka kuitwa kichwa cha mwendawazimu
 
Machaku amepiga shuti zuri sana wakati hup huo Ivory coast wanafanya mabadiliko
 
dakika ya thamanini mambo mazuri kwa watanzania bara kwa hili wala hatukuitini watanganyika la furaha hili
 
tumekosa goli la wazi kupitia kwa salum machaku na inaonekana kaumizwa
 
Jabir ameumia na ninavyomfahamu huyu jamaa huwa anamatatizo ya goti sasa naona anapiga kelele huku ameshika goti
 
Huyu cheche alikuwa anaelekea golini naona kelvin ametoa nje
 
Kelvin amechoka nao anatoa nje hata mpira ambao sio lazima
 
jamani mungu ibariki tanzania bara sisi tuko kwenye muungano haya mambo ya tanganyika yanakujaje ?


haya kwenye katiba hayamo jamani tusiikiuke katiba

halafu mbona dakika haziendi
 
Back
Top Bottom