Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Sidhani, King'asti anaonekana mstaarabu.
Naona tukacheki ile thread ya anti AshaDii
tuone nani alikua na deni la siku nyingi zaidi
atakua ni huyo huyo, maana mwenye lake haachi
Wastaarabu ndio wakopaji wakubwa Mwali
 
Last edited by a moderator:
Usinikumbushie sweetlady, yaani hapa niko na dripu baada ya uchofu wa safari ya mpwapwa na kibuti juu. Nashkuru skufanikiwa manake ningefanikiwa nazani sasa ivi husny angekuwa ashanitegua kiuno chote.
 
Hahahaha! Rede na bi kidude???...lol, cheusi umenchekesha sana!..
 


mhh! ni faida gani za kuwa mwana MMU!? no offense but wachakachuaji wa thread wengi wanatoka MMU ... hadithi nyingi za kutunga zipo MMU!

Heri za MMU threads ni hypothetical. Kule jukwaa la siasa asilimia 74 ya threads ni za kutunga.
Kama jana tuu moja ya thread iliyokuwa juu sana ni kuonekana kwa Lowassa akiwa hoi uwanja wa ndege Dar akipelekwa nje kutibiwa. Yaani kule mtu anamtungia mwanasiasa thread na inapata wachangiaji kibao.
Kule thread zinazoenda mpaka page 20 nyingi ni za kutunga.
Ukiweka thread ambayo inahitaji kutumia kichwa hachangii mtu.
 
Usinikumbushie sweetlady, yaani hapa niko na dripu baada ya uchofu wa safari ya mpwapwa na kibuti juu. Nashkuru skufanikiwa manake ningefanikiwa nazani sasa ivi husny angekuwa ashanitegua kiuno chote.
Hahahaha! Pole lawyer! Sasa mbona Husninyo haji kujibu lisredi lake? M'dipu' basi klorokwini
 
Last edited by a moderator:



huwa sioni mantiki ya watu kukubali kukutana na fellow JF member kwa hiari yao halafu wanakuja kuwaponda humu...
 
Venue bora ikuwe madagascar, unajua mimi madokta wamenishauri nisiipendelee sana hali ya hewa ya bongo na ikibidi bas nitembee na mwavuli kama marehem maiko jaksoni, sasa naona hii itakuwa usumbufu. Viza ya madagascar unayo au niwasiliane na waziri wa mambo ya nje akutolee?
 
Amesema ataingia baadae, ana shughuli kwa sasa
Ngoja na mimi nikamsaidie kufunga mizigo, baadae.:busu

Mwali sasa ukimsaidia si ndio ataondoka leo hii hii? Usimsaidie bana ili aendelee kuwepo na sisi.
 
Last edited by a moderator:
Kama nikishida lotto kati ya watu wa JF ambao ningewagemea kidogo ni wewe? Bado hutanipa namba?
EMT am sure unaelewa vizuri kiswahili hasa neno kamwe..
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
Asante kwa kushare exprience yako kuhusu jf ambayo imenifanya nipate uzoefu fulani kuhusu jf na pia itabidi kuamia katika kusoma habari lakini sinampango wa kuaga member sababu nahisi sife kesho wala kesho kutwa.licha ya hayo karibu tena!
(UKISOMA UTAKULA VYA USIYESOMA)
 

Haaahaaa! Kweli watu wana moyo.
 
huwa sioni mantiki ya watu kukubali kukutana na fellow JF member kwa hiari yao halafu wanakuja kuwaponda humu...

Nimekoma mkuu, hakyanani sirudii tena. Eeeh mods sameheni zambi zangu za JF.
Ubarikiwe cartura kwa ukumbusho wako ambao nitauchukulia vere serious na nitabadilika.
sweetlady sema amen
 
Last edited by a moderator:
Kanifungulie tu, manake ndo kunipaisha kwenyewe huko :smile-big:

Kisha pia wengine wote wasioweza kufungua uzi, watadandia hapo hapo wafaidike na wao ....

Orait. Ngoja niodhoreshe hizi challenges vizuri.
 
Ameni.
Nimekoma mkuu, hakyanani sirudii tena. Eeeh mods sameheni zambi zangu za JF.
Ubarikiwe cartura kwa ukumbusho wako ambao nitauchukulia vere serious na nitabadilika.
sweetlady sema amen
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…