Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinikumbushie sweetlady, yaani hapa niko na dripu baada ya uchofu wa safari ya mpwapwa na kibuti juu. Nashkuru skufanikiwa manake ningefanikiwa nazani sasa ivi husny angekuwa ashanitegua kiuno chote.Hahaha! Heri mimi sijasema! Challenge D ndio nimeipenda asee daaah!....
hebu think lawyer wakati swahiba anakazana kutuma PM na kusema 'I love you baby boy', tobaaaaa!!! kufumba na kufumbua kumbe kibabu hakina hata meno!...lolest
Kibabu kinataka kumfia Husninyo nyumba za kulala wenyeji lol.
Hahahaha! Rede na bi kidude???...lol, cheusi umenchekesha sana!..pole husninyo ila challenge D inachekesha sana.
Jamani kuna watu wanapenda vibabu hivyo kama mtu wewe ni kibabu mkiwa huko Pm sema tu ukweli wewe ni kikongwe ili hata mkipanga kukutana mtu anajua anakutana na age gani,sio mtu unaleta swagga za kijana aliyemaliza chuo kumbe na kazi ulishastaafu.Pia humu naamini kuna vibibi na nyie mkiwa PM semeni tu ukweli sio kuleta swagga za umri wa Lulu kumbe mlicheza rede na bikidude halafu mnasumbua watu siku ya kukutana mwishowe wanakuja hapa kuleta nyuzi za kulalamika.
mhh! ni faida gani za kuwa mwana MMU!? no offense but wachakachuaji wa thread wengi wanatoka MMU ... hadithi nyingi za kutunga zipo MMU!
Hahahaha! Pole lawyer! Sasa mbona Husninyo haji kujibu lisredi lake? M'dipu' basi klorokwiniUsinikumbushie sweetlady, yaani hapa niko na dripu baada ya uchofu wa safari ya mpwapwa na kibuti juu. Nashkuru skufanikiwa manake ningefanikiwa nazani sasa ivi husny angekuwa ashanitegua kiuno chote.
MaRoman]Huyu nae nilifikiri ni kijana mwenzangu , tukapanga kuonana kwa nianjema. Dah, sikuamini kama ni kibabu tena karibia mara 3 ya umri wangu. Kibabu hiki baada ya pale kimeanza usumbufukinataka tu DO. Tumeishia kugombana nahatuna mawasiliano tena.
kuna kadada kalikuwa kwenye PM daily kananiambia mitaani wanakiita alicia keys kwakuwa kafanana nae, tukapanga kukutana, ile siku tunaonana ikabidi nimuulize kama ana uhusiano wowote na Lucy Kibaki manake kopi tu raiti, nilikuja kugundua kumbe kalikuwa kanataka bia za bure tu. Tena bora nisijikumbushe tu manake namimi naweza nikajiskia kuaga anytime
Amesema ataingia baadae, ana shughuli kwa sasaHahahaha! Pole lawyer! Sasa mbona Husninyo haji kujibu lisredi lake? M'dipu' basi klorokwini
Venue bora ikuwe madagascar, unajua mimi madokta wamenishauri nisiipendelee sana hali ya hewa ya bongo na ikibidi bas nitembee na mwavuli kama marehem maiko jaksoni, sasa naona hii itakuwa usumbufu. Viza ya madagascar unayo au niwasiliane na waziri wa mambo ya nje akutolee?Hehehe! Hiyo haina noma. Ila sasa inabidi unitumie kwa mpesa walau vilaki 2 hivi kama sign ya commitment (bond collateral) manake ukinikimbia b4 sijakuchakachua ntalaumiwa na bibi yangu aisee. Venue nichague ya bongo ama tukimbie wachawi tukajifiche ughaibuni kidogo (kwa matumizi hapa ndo break yao baba, relax)
Kweli asee. Nashauri Husninyo na klorokwini walimwe bani la maisha.sioni mantiki ya kukubali kukutana na any other JF member kwa hiari yako halafu uje kumwaga attributes zake humu...
Khaaaaa!Who is Saint Ivuga? hilo jina naliskia sana humu JF... :ranger:
Hahahaha! Pole lawyer! Sasa mbona Husninyo haji kujibu lisredi lake? M'dipu' basi klorokwini
Mamboz?, leonataka kushare nanyi changamoto nilizokumbana nazo tangu nimejoin jf. Binafsi naaminichangamoto zinasaidia kutujenga kiakili na binadamu wote tunapitia challengestofautitofauti. Challenges nilizokumbana nazo humu zimenifanya kuwa mtu makinizaidi hivyo sina budi kushukuru kwa yote yaliyonikuta. Labda niende moja kwa moja kwa kile natakakushare nanyi then nitachukua fursa kuagana rasmi. Challenges zote zimesababishwa na watu ingawainawezekana na mimi nimechangia kwa namna moja au nyingine.
A.Challenge.
Nilimzoeahuyu mtu humu humu nilijua tutakuwa marafiki wazuri wa kushauriana na hatakupiga story ila sikuamini kuwa huyu mtu ni KUWADI (Alinitafutia mwanaume). Sikupenda hayo mambo na mwisho wa sikutumekuwa maadui.
B.challenge
Nilimchukulia kama ndugu yangu, nilikuwa kimbilio lake kila alipohitajiushauri. Nilimshirikisha pia baadhi ya mambo yangu, hatukuwahi kugombana hatakidogo. Rafiki huyu aliniambia ana shida ya pesa (nimkopeshe). Nilichukulia shidayake ni yangu, husninyo nikavunja kibubu
Dahhhh, sahivi hatuwasiliani tena, hapigi wala hatumi msg , nimeshapigwakalenda mpaka nimechoka na sina matumaini tena ya kulipwa pesa yangu. Imeniumiza
C. Challenge
Hii ilihusu rafiki yangu niliyekutana nae humu, alikuwa nirafiki mzuri ila sahivi sipo nae tena. Tulikuwa tukisalimiana kwa pm na kusharemawili matatu. Huyu rafiki amepotea ghafla JF, sijui kama amekufa au lah maanamwaka unakatika sasa. Hii inanihuzunisha sana.
D. Challenge
Huyu nae nilifikiri ni kijana mwenzangu , tukapanga kuonana kwa nianjema. Dah, sikuamini kama ni kibabu tena karibia mara 3 ya umri wangu. Kibabu hiki baada ya pale kimeanza usumbufukinataka tu DO. Tumeishia kugombana nahatuna mawasiliano tena.
E. challenge
Huyu alikuwa ni msumbufu sana kwenyePMs. Tumesumbuana mwisho wa siku akakata tamaa. Muda si mrefu alibadili IDakawa anatumia ya Kike, watu wote mpaka sasa wanajua ni mwanamke na kabla ya hapo pia walikuwa wanajua ni mwanaume. Nashindwakuelewa ni mwanamke au mwanaume.
F. challenge
Huyu nae alikuwa ni rafiki ingawa sikupenda mazoe naeya ukaribu. nilishindwa kuelew alikuwa ananipeleleza au lah, aliniomba nambayangu nikamnyima, baada ya wiki ananipigia na kudai yeye ni ( ..) wa JF, sikupenda hiyo kitu.
Najua wapinimekosea. Nataka kuzaliwa upya. Nimedecide kuchange maisha yangu ya kimtandao. Najua nina familyhapa: Mtambuzi- baba, mamdenyi-mama, kaizer-uncle, ashadii-aunt,cantalisia-sister, mwali-cousin, dark city & asprin mababu, sweetlady-swahibana nipo na marafiki kibao pamoja na mashemeji (mnajijua.) My online husband judgement, nitakumiss sana ilanimekuruhusu uoe mke mwingine maana najua maisha ya usingle hautoyaweza. lol
Nitakuwa nanyikwa siku tatu kuanzia leo kujibucomments zenu then nitomba PARMANENT BAN kutoka kwa mods. Nitakuwa nasomahabari (najua humu ni kisima cha habari) kama guest na nitajoin tena miakaijayo ingawa kwa kipindi hicho sitokuwa the same husninyo as akili yangu itakuwaya kiutu uzima zaidi.
Nafikiri mtakuwammejifunza kitu kwenye hii thread pia nitakuwa nimeondoa maswali ya watukujiuliza kwa nini nimekuwa banned. Wale members wenzagu wa JE saccostutakutana kwenye vikao au ofisini kwenye kuchukua na kurudisha mikopo, waleambao tayari tumekuwa na mahusiano mazuri nje ya jf tutakeep in touch, waleambao tulipanga kuonana na kufahamiana nawapa pole (haitowezekana tena). Nawatakiakila la heri na mungu awalinde. Nawapenda sana.
huwa sioni mantiki ya watu kukubali kukutana na fellow JF member kwa hiari yao halafu wanakuja kuwaponda humu...
Kanifungulie tu, manake ndo kunipaisha kwenyewe huko :smile-big:
Kisha pia wengine wote wasioweza kufungua uzi, watadandia hapo hapo wafaidike na wao ....
Kweli asee. Nashauri Husninyo na klorokwini walimwe bani la maisha.
Tuonane wapi kusherehekea hii amen yako? hakyanani mie si kibabuAmeni.