She didn't ask for sympathy. C'mon people!
Nipo nashangaa tu hapa... hivi tufanye nini Husninyo abaki?
I will miss her so much Ivuga, please do something to convince her.
Yu wapi Nyani Ngabu mtani wake, aje amchekeshe maybe atabaki
Ok, she is not happy, and she has decided to share her experience and leave.Mwali baby read btn the lines. It is some kind of cry.
How did you do that? lol
Hahaha! Heri mimi sijasema! Challenge D ndio nimeipenda asee daaah!....
hebu think lawyer wakati swahiba anakazana kutuma PM na kusema 'I love you baby boy', tobaaaaa!!! kufumba na kufumbua kumbe kibabu hakina hata meno!...lolest
Kibabu kinataka kumfia Husninyo nyumba za kulala wenyeji lol.
hah ah a imekula kwako nimesha m pm.kasema soon anakuja na mi picha yuko kwenye Obama fund-raisingeeeh Mola jaalia michelle asitokee. amen
sio fresh mimi ni mteja wako ndugu yanguAdui mwombee hungry
Hehehe! Wacha tumsubirie aje azimwage hapa!ha ha aa michele yuko wapi huyu anazo picha nyingo za klorokwini
Mtu ataishije bila PM bwana? PM mambo yoteinabidi afunge pm zake zote awe makini na watu wanao m pm akishaona kuwa mtu anaelekea ambako siko basi ampige chini ..its so simple. Husninyo alikosa ushauri tu au labda yuko so lonely ..sijui kwa nini alikuwa na moyo wa kukutana na watu wote hao..na wewe inabidi nikuulize kwa nini mlimuacha Husninyo mpaka akawa lonely kiasi hiki hadi anakutana na watu wa ajabu ajabu hivi. Nyani Ngabu atakuwa anaorganise show ya Linah kuja US.
PM me I will teach noʎ.
Mtu ataishije bila PM bwana? PM mambo yote
Suali msilo maliza kwenye thread mnamalizia PM
Sema tu ni mtu kuchagua very carefully nani anaku-PM
Mfano: Ribosome anataka kunifunza kuandika upside down
How can I resist? ngoja nimtumie PM sasa hivi. Ivuga funga macho.
Hahahaha, roho mbaya tu hiyo.Ivug atalia akikuona na wewe unamjibu upside down kwi kwi kwi teh teh teh!
Mtu ataishije bila PM bwana? PM mambo yote
Suali msilo maliza kwenye thread mnamalizia PM
Sema tu ni mtu kuchagua very carefully nani anaku-PM
Mfano: Ribosome anataka kunifunza kuandika upside down
How can I resist? ngoja nimtumie PM sasa hivi. Ivuga funga macho.
Ribosome nimemruhusu kwa baraka zote huyu namuamini sio macho juu juu kwani wewe unamuonaje Mwali . huyu ni kitu kingine bwana and i am so proud of her au kama huamini jaribu kuingiza gia zako uuone moto wake, utajuta kuzaliwa sikudanganyi na wala simpaki mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa i am speaking from experience dude!!Ivug atalia akikuona na wewe unamjibu upside down kwi kwi kwi teh teh teh!
Pale pale pa siku zote! Mie najua wewe sio kibabu ndio mana sibanduki pembeni yako..Tuonane wapi kusherehekea hii amen yako? hakyanani mie si kibabu