Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Nipo nashangaa tu hapa... hivi tufanye nini Husninyo abaki?
I will miss her so much Ivuga, please do something to convince her.
Yu wapi Nyani Ngabu mtani wake, aje amchekeshe maybe atabaki

inabidi afunge pm zake zote awe makini na watu wanao m pm akishaona kuwa mtu anaelekea ambako siko basi ampige chini ..its so simple. Husninyo alikosa ushauri tu au labda yuko so lonely ..sijui kwa nini alikuwa na moyo wa kukutana na watu wote hao..na wewe inabidi nikuulize kwa nini mlimuacha Husninyo mpaka akawa lonely kiasi hiki hadi anakutana na watu wa ajabu ajabu hivi. Nyani Ngabu atakuwa anaorganise show ya Linah kuja US.
 
We si unaona kaamua kusema, atakua hajaridhika. Boresha huduma kaka...

Kama Husninyo alikuwa hajawa satisfied na huduma na sera zangu angeniambia mie tuu.
 
Last edited by a moderator:
Mwali baby read btn the lines. It is some kind of cry.
Ok, she is not happy, and she has decided to share her experience and leave.
This is very brave of her. wa ngapi wamekutana ha hayo na wakaamua kujifungia?
To me this is like: Hey, I made few mistakes, but I know how to fix them going forward.
I pick myself up, dust it and move along with my new-not-so-social ID. thank you all.
It is a positive message. Mi sijampa pole, nimempa hongera kwa kuchukua hatua...
 
Hahaha! Heri mimi sijasema! Challenge D ndio nimeipenda asee daaah!....

hebu think lawyer wakati swahiba anakazana kutuma PM na kusema 'I love you baby boy', tobaaaaa!!! kufumba na kufumbua kumbe kibabu hakina hata meno!...lolest

Kibabu kinataka kumfia Husninyo nyumba za kulala wenyeji lol.

Ukiona mtu ana status ya "Senior Member" JF jua moja kwa moja ni kibabu au kibibi.
Invisible nirudishie my "Expert Membership" haraka sana. Hali mbaya.
 
Husninyo challege B nitakutumia ile pesa mamaangu..nilikuwa nasubiri mpunga wangu ukomae niuze ,tukutane pale pa kila siku love u:love:
 
inabidi afunge pm zake zote awe makini na watu wanao m pm akishaona kuwa mtu anaelekea ambako siko basi ampige chini ..its so simple. Husninyo alikosa ushauri tu au labda yuko so lonely ..sijui kwa nini alikuwa na moyo wa kukutana na watu wote hao..na wewe inabidi nikuulize kwa nini mlimuacha Husninyo mpaka akawa lonely kiasi hiki hadi anakutana na watu wa ajabu ajabu hivi. Nyani Ngabu atakuwa anaorganise show ya Linah kuja US.
Mtu ataishije bila PM bwana? PM mambo yote
Suali msilo maliza kwenye thread mnamalizia PM
Sema tu ni mtu kuchagua very carefully nani anaku-PM

Mfano: Ribosome anataka kunifunza kuandika upside down
How can I resist? ngoja nimtumie PM sasa hivi. Ivuga funga macho.

PM me I will teach noʎ.
 
Ukiona mtu ana status ya "Senior Member" JF jua moja kwa moja ni kibabu au kibibi.
Invisible nirudishie my "Expert Membership" haraka sana. Hali mbaya.

EMT hebu andamana turudishiwe vyeo vyetu lol. Kwani nini kimetokea mpaka tukashushwa vyeo?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Mtu ataishije bila PM bwana? PM mambo yote
Suali msilo maliza kwenye thread mnamalizia PM
Sema tu ni mtu kuchagua very carefully nani anaku-PM

Mfano: Ribosome anataka kunifunza kuandika upside down
How can I resist? ngoja nimtumie PM sasa hivi. Ivuga funga macho.

Ivug atalia akikuona na wewe unamjibu upside down kwi kwi kwi teh teh teh!
 
i dont mind wewe kum pm ila hiko ni kigiriki kwa hio hakinitishi ...nakujua sana wewe Mwali huwezi kunisaliti so mimi nimerelax sanaa tuu siogopi kitu..ningekuwa nachezaga bellow level ndio ningeogopa.
- what i mean sio kufunga pm zote inatakiwa awe anawapotezea watu wengine ..najua wasichana mnapoke pm nyingi san kutoka kwa kila mtu hasa kwa watu wanaowinda im not among of them
 
Last edited by a moderator:
Mtu ataishije bila PM bwana? PM mambo yote
Suali msilo maliza kwenye thread mnamalizia PM
Sema tu ni mtu kuchagua very carefully nani anaku-PM

Mfano: Ribosome anataka kunifunza kuandika upside down
How can I resist? ngoja nimtumie PM sasa hivi. Ivuga funga macho.
Hahaha Mwali una mambo wewe!
 
Last edited by a moderator:
Ivug atalia akikuona na wewe unamjibu upside down kwi kwi kwi teh teh teh!
Ribosome nimemruhusu kwa baraka zote huyu namuamini sio macho juu juu kwani wewe unamuonaje Mwali . huyu ni kitu kingine bwana and i am so proud of her au kama huamini jaribu kuingiza gia zako uuone moto wake, utajuta kuzaliwa sikudanganyi na wala simpaki mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa i am speaking from experience dude!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, roho mbaya tu hiyo.
Siji PM sasa! Ivuga, I am sorry...
Mwali nenda tu huko pm ungekuwa hujitambui ndio nisingekuruhusu but i know and believe you.
sasa hivi tufanye mikakati mtu wetu Husninyo arudi jamvini..haiwezekani aondoke kirahisi hivi kama kwa sababu ya vunyamkera wachache
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom