Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
jamani lakini kibab cha challenge D mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kina stahili sifa maana sijui kilikua kinatumia maneno gani hadi kikafanikiwa kupata date na husninyo,vijana fanyeni mkijue hichi kibabu kiwafundishe mbinu kinaonesha kina utaalamu fulani wa kipekee.
 
Hilo nalo neno, ukute kapata mtu hapa na kamshawishi aage hapamfai tena. teh teh teh.
huyo mtu anaogopa kama yeye kampata hapa, wasije wengine wakaparamia mali yake. :tongue:

Usiwe na wasiwasi. Jamaa akimtupa atarudi tuu JF tena kwa ID ile ile.
JF duara. Mapenzi mshumaa.
 

hahahah we hicho kibabu kimekufurahisha sana eeeh?? Lol!
 
Usiwe na wasiwasi. Jamaa akimtupa atarudi tuu JF tena kwa ID ile ile.
JF duara. Mapenzi mshumaa.


Mie sina wasi wasi, ingekua ni ID ya mtu ambae ipo toka 2010 alafu haijulikani ningeelewa.
sasa kwa Husny ana ka uchembe wa jf addiction. naona hii thread ina walengwa hasa wa
kuhakikisha kua yeye hatakuwepo. teh teh teh. mimi nitamu miss kwa kweli sabb najua hio
ID mpya mie sitapewa. EMT una mpango na wewe wa kuaga anytime soon?
 
Reactions: EMT
hahahah we hicho kibabu kimekufurahisha sana eeeh?? Lol!
Kipipi nashindwa kuzielewa hisia zangu juu ya kibabu,kwanza sijafurahia kilivyosababisha husninyo kuondoka,pili nahisi kina manufaa fulani kwa vijana wetu si unaona jinsi vijana wanavyokuja na thread za kuomba wapewe mbinu za kushawishi wasichana tena ambao wanaonana face to face huko mitaani lakini kibabu kimeweza kumtoa husninyo wetu kwa Pm tu hadi pale husninyo alipoona huu umri umezidi sana ndo mambo yakamharibikia kibabu.Ila pia kinajiamini eti pamoja na kujionesha kuwa ni kizee bado kinataka ku-DO jamani huyu babu kwa kweli kashindikana.
 
Last edited by a moderator:
Challenge zote kumbe zinahuzu Love.. Kuzuzukia Mapenzi nako kuna taabu sana.. Mapenzi hayataki papara.. Facebook imejaa ikatapika wewe waja huku jamvini ambapo wananchi wamejifichia kwenye kigiza cha id's kutafuta nini..
Soma sigh ya Invisible please
 
Tuwasubiri waje kukanusha wenyewe. lol

Mkuu EMT,

Unadhani hata tukikanusha mtatuamini basi?

Kama ni kashfa basi hii ni ya kufungulia mwaka 2012....

Ila siko tayari kuwajibika kwa lolote....!!

Babu DC
 
Reactions: EMT


cheusimangala,

Sikujua kama na wewe ni mchokozi kiasi hicho...Nadhani Husninyo angekitaja hicho kibabu, chat yake ingepanda sana kama ya Kanumba....May be ni pacha wake Babu DC!!

Ila sikujua kama huu uzi ungekuwa na talking points za kutisha kama hizi!!

Babu DC (siyo kibabu wa Hus lakini)!!
 

Kwa sasa mimi ni wa hapa hapa. Nikiaga wala sitamjulisha mtu.
Kwa hiyo kama wewe ni kibibi, wala usiogope kuni-PM. lol.
Halafu nikiaga nataaga mazima mazima. Sitarudi kwa ID nyingine.
Sidhani kama Husninyo ameaga mazima mazima.
Ameelezea tuu challenges, alizozikuta hapa JF tokea ajiunge.
You don't run away from challenges, you deal with them.
Wewe una mpango wa kuaga kwa challenges ulizozipata hapa?
Bora uniambie fasta.
 
Mkuu EMT,

Unadhani hata tukikanusha mtatuamini basi?

Kama ni kashfa basi hii ni ya kufungulia mwaka 2012....

Ila siko tayari kuwajibika kwa lolote....!!

Babu DC

Hahaa yale yale wa wabongo?
Hawajibi mtu hapa.

Hahahahahahahahah,

Hivi mmeshafikia hiyo conclusion?

Anyway, cheusimangala keshampa huyo kibabu credits za nguvu.....!!

Babu DC!!

Mkuu bado hujakanusha kama wewe ndiye huyo kibabu.
Ukikanusha tuu tunabaki na Asprin.
 
Last edited by a moderator:

Nimemsoma na Nyani Ngabu naona misimamo inafanana. teh teh teh
hata hivo husny kisha sema kua atakua hapa kama guest kuondoka hawezi,
tatizo ni kutumia tu hii ID yake ambayo imeface challlenge nyingi.
hapa mimi napenda challenge hadi nazikimbilia teh teh teh, ngoja niku
pm nikupe namba yangu ya simu unikopeshe pesa ya bundle.
 
Reactions: EMT
Hahahahahahahahah,

Hivi mmeshafikia hiyo conclusion?

Anyway, cheusimangala keshampa huyo kibabu credits za nguvu.....!!

Babu DC!!
Babu oyeeeeeee!😛oa

Lakini wasikusumbue babu yangu, Huyu anaetajwa wamesema ni kijana
kwa maana ya kwamba ukiona ID utadhani ni kijana kama husninyo
Ukija kumuona live ndio unaona ni babu, wewe mstaarabu babu, ulisema mapema.
 

Sometimes, vibabu vianaweza kuwa dili. Unakuta kijana anatongoza mara anajibiwa "utanipeleka wapi wewe unawaza maisha, unaona kile kibabu hakina noma kinatoa tuu mkwanja" Smile atafafanua zaidi.
 

Bora ufanye fasta. Ila bora uhakikishe mapema kuwa kama mie ni kibabu.
Yasije yakakukuta yalimkuta Husninyo bure.
 
Last edited by a moderator:
Bora ufanye fasta. Ila bora uhakikishe mapema kuwa kama mie ni kibabu.
Yasije yakakukuta yalimkuta Husninyo bure.

EMT si nimekuambia mimi nakimbilia challenges sizikimbii.
na nikija huko na apply sig yako na kuleta wengine. teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Aiseeee. .
Ngoja na mimi nishuke na challenge zinazonihusu, japo siagi.

A.Nshatishiwa tindikali.
B.Nshatokewa na VIbabu.
C.Eti nna maadui.
D.Nshaolewa na kuachika mara kadhaa.
E.Nshamwalika mtu UngaLTD nikajuuuuuta kujipendekeza.
F.Nshakopa kwa ID tofauti mpaka leo nadaiwa.
. . . . . . .

Hiyo ni trailer. . .bado mkanda.

Haya pole Husninyo. . . .wasalimu wote uendako.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…