Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Kama nikishida lotto kati ya watu wa JF ambao ningewagemea kidogo ni wewe? Bado hutanipa namba?



hahaha kidume kazini naona! Kamanda unataka kumkimbiza na Purple?
 
Reactions: EMT
this is a very interesting thread

It amounts to web/cyber bullying, or even sexual harassment under the umbrella ya majina feki

i am very interested kujua JF family itasemaje kuhusu hili

in a way ni appeal to the community for a fair trade

If you participate in any forum on the site, you warrant that you will not:
  • Defame, abuse, harass or threaten others
Naamini JF are obliged to follow confidentiality and data protection laws.
Hata hivyo sidha kama JF ipo responsible kwa yanayotokea nje ya JF.
Japokuwa:
JAMIIFORUMS reserves the right to reveal any information we have about you in the event of a complaint and legal action arising from any message that you may post. Please also note that all IP addresses are recorded when items are posted.

Sijui kama "messages" also include "PMs"?
 
pole husninyo ila challenge D inachekesha sana.
Jamani kuna watu wanapenda vibabu hivyo kama mtu wewe ni kibabu mkiwa huko Pm sema tu ukweli wewe ni kikongwe ili hata mkipanga kukutana mtu anajua anakutana na age gani,sio mtu unaleta swagga za kijana aliyemaliza chuo kumbe na kazi ulishastaafu.Pia humu naamini kuna vibibi na nyie mkiwa PM semeni tu ukweli sio kuleta swagga za umri wa Lulu kumbe mlicheza rede na bikidude halafu mnasumbua watu siku ya kukutana mwishowe wanakuja hapa kuleta nyuzi za kulalamika.
 
Reactions: EMT
Khaa! sasa si ungeandika challenge D tu? umeweka details zote, na hiyo challenge E sio Kongosho kweli? Hiyo challenge F haina ubishi ni nitonye tu
Hahaha! Heri mimi sijasema! Challenge D ndio nimeipenda asee daaah!....

hebu think lawyer wakati swahiba anakazana kutuma PM na kusema 'I love you baby boy', tobaaaaa!!! kufumba na kufumbua kumbe kibabu hakina hata meno!...lolest

Kibabu kinataka kumfia Husninyo nyumba za kulala wenyeji lol.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT

Hicho hapo kwenye redi ndo kiini hasa cha matatizo yote.
 
Hehehe! Hiyo haina noma. Ila sasa inabidi unitumie kwa mpesa walau vilaki 2 hivi kama sign ya commitment (bond collateral) manake ukinikimbia b4 sijakuchakachua ntalaumiwa na bibi yangu aisee. Venue nichague ya bongo ama tukimbie wachawi tukajifiche ughaibuni kidogo (kwa matumizi hapa ndo break yao baba, relax)
 
sweetlady, tunamkosa Husninyo hivi hivi... tufanye nini abaki?
Kama kweli hicho kibabu ni deskmate basi achukuliwe hatua sasa hivi

Mwali, hapa nilipo nna majonzi wacha kabisa...kibabu ni deskmate hilo halina ubishi, hebu fanya hima tuokoe jahazi!..akiondoka Husninyo akiondoka na mimi naondoka...nasikitika sana asee!

Afu aliemkopa sio King'asti kweli?
 
Last edited by a moderator:
Yangu macho mke mwenza, naona wajitafutia challenge hadharani..
 
Mwali, hapa nilipo nna majonzi wacha kabisa...kibabu ni deskmate hilo halina ubishi, hebu fanya hima tuokoe jahazi!..akiondoka Husninyo akiondoka na mimi naondoka...nasikitika sana asee!

Afu aliemkopa sio King'asti kweli?
Sidhani, King'asti anaonekana mstaarabu.
Naona tukacheki ile thread ya anti AshaDii
tuone nani alikua na deni la siku nyingi zaidi
atakua ni huyo huyo, maana mwenye lake haachi
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…