B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Tawile
Sawa mtabiri tambi tambi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mtabiri tambi tambi.
Ni rahisi sana kum-replace miquissone ila sio chama, mark my words.Mimi ni simba,nakwambia chama sio mchezaj tishio,bora miquesson angerud ndo ningeshangilia
Kwakusema hivyo tu , tayari inaonyesha unavyomuogopa. Ungekaa kimya tusingejua kwamba unamuogopaKwani nani anamwogopa
Ndiyo , kama ilivyo kwa makambo mkuu.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwahiyo tubakubaliana kuwa CHAMA ni mchezaji ambaye kiwango chake ni kucheza KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA???
Alitabiri na siku yake ya kuzaliwa siyo?Sawa mtabiri tambi tambi.
Clip hizo umetoa wapi wakati alikuwa anakalia BENCH??Nimepata bahati ya kuona clips za dk chache alizocheza akiwa na berkane, nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa chama ameshindwa kucheza Morocco kutokana na kiwango kibovu, ni mambo tu ya nje ya uwanja kwani sio mara ya kwanza aliwahi kusajiliwa Al ittihad ya misri na alivunja mkataba baada ya muda mchache hivyo hivyo. Kwamba ashindwe chama mwenye kila aina ya ufundi miguuni mwake aje kuweza mwana riadha tuisila kisinda. Viwango vyao hata hapa vilikuwa vinaonekana, chama ni bora kuliko kisinda hivyo ni upumbavu kusema kwamba chama hana kiwango cha kucheza Morocco.
Rudia tena kusoma, nimesema kwa dk chache alizocheza.Clip hizo umetoa wapi wakati alikuwa anakalia BENCH??
Ukimaanishaje mkuu ??Chama ni mara 700 ya kisinda
Kwa Yanga hii Chama hata akitua hapo bado hakuna kitu...Bado konde Boy... Watajua hawahui hakyanani..
This is simba....Wacha inyeshe tujue panapovuja
Vice versa mkuuUkimaanishaje mkuu ??
Labda chama wa buguruni na sio chama ninaemjua mimi, nenda kwenye website ya RS berkane utaona wameandika nini kuhusu chama na wanajiandaa na mechi inayofuata chama akipewa shavu la kuanza kwenye mechi iyo jumamosi, sasa izo habari zenu za kwamba chama yuko Tanzania inawezekana kuna chama wawili alafu mnapongezana ujinga tu milivyo na akili za kushikiwaMsemaji wa simba sc, bwana kamwaga amepost picha hii ya kiti katika page yake ya fb na kuandika 90% soon kitu kinachomaanisha anakwenda kusimamisha mitandao leo lakini inasemekama tayari chama yupo mjini hapa na leo anatangazwa kuwa mchezaji halali wa simba sc jioni ya leo,
Karibu sana clatous chama simbaView attachment 2046006View attachment 2046007
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Wanasema Haji Manara ni msukuleKwani Yanga wanasemaje?