Chama cha CNN-FDD cha Burundi cha mpongeza Dr. Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais

Chama cha CNN-FDD cha Burundi cha mpongeza Dr. Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Pongezi hizo ni kwa mujibu wa tweet yao hii:

#Burundi: Chama cha CNDD-FDD kinatoa pongezi kwa Dkt P.I. MPANGO baada kuidhinishwa kuwa Makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Umahiri na utendaji kazi wake ni chachu ya kuleta maendeleo Tanzania chini ya uongozi wa Raisi Samia S. Hassan. Viva @ccm_tanzania

Mpango.PNG
 
Kuna ubaya gani?

Watu mnahoji uraia wa Mpango, mbona wazanzibari wanatawala Tanganyika na wala hamuulizi?

Ni mtanganyika gani amewahi kutawala Zanzibar?

Acha hata wakongo watawale Tanzania.

Bongo sasa hivi ni nchi ambayo haina mwenyewe, hata wasomali wakitaka wanatawala tu kadri watakavyojisikia maana kama warundi, wazanzibari wanajitawalia wanavyotaka unategemea nini.

Hivi limekosekana tapeli moja la kinaijeria lije kutawala bongo?
 
🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇸🇸 ni ndugu. Hiyo mipaka iliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao tu. Anaweza kuwa na wazazi wa asili ya Burundi lakini ni mzaliwa wa kwenye aridhi ya Tanzania hivyo ni Mtanzania mwenzetu. Tumezipokea salaaaam kiroho safi kabisa
 
Kuna ubaya gani?

Watu mnahoji uraia wa Mpango, mbona wazanzibari wanatawala Tanganyika na wala hamuulizi?

Ni mtanganyika gani amewahi kutawala Zanzibar?

Acha hata wakongo watawale Tanzania.
Mahesabu ya Jiwe yamekwenda ''shaghalabagala''.Aliteua mtu akidhani ni dhaifu ili aweze kumControl matokeo yake ndio hivyo tena!
 
Hawa nao wanataka kumjazia nzi ndugu yao... si wapige kimya tu 😁 😁 😁
 
🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇸🇸 ni ndugu. Hiyo mipaka iliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao tu. Anaweza kuwa na wazazi wa asili ya Burundi lakini ni mzaliwa wa kwenye aridhi ya Tanzania hivyo ni Mtanzania mwenzetu. Tumezipokea salaaaam kiroho safi kabisa
Mbona hawakumpongeza Mama Suluhu?
 
Kama ni kweli basi 'timing' yao mbaya sana
 
Back
Top Bottom