Chama cha CNN-FDD cha Burundi cha mpongeza Dr. Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais

Chama cha CNN-FDD cha Burundi cha mpongeza Dr. Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais

Pongezi hizo ni kwa mujibu wa tweet yao hii:

#Burundi: Chama cha CNDD-FDD kinatoa pongezi kwa Dkt P.I. MPANGO baada kuidhinishwa kuwa Makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Umahiri na utendaji kazi wake ni chachu ya kuleta maendeleo Tanzania chini ya uongozi wa Raisi Samia S. Hassan. Viva @ccm_tanzania
Warundi wanajuana
 
Mtanzania ni mtu wa namna gani? Yawezekana wewe hujui ukijua hilo hutafanya tena huu upumbavu ulioupost humu kuhusu Dr Mpango na wengine mnaopenda kuwazushia mara tu wapatapo madaraka makubwa ya nchi hii.Hata Nyerere alizushiwa kuwa ni mtutsi wa Rwanda.
 
Utakuwa ni uboya kwenye system nzima kama hawakulijua hilo watanzania muache chuki za kikabila

Mlitaka shirima au mwakatobe awe makamu ndio mridhike? Inashangaza sana
We unadhani huko kwenye 'system' kuna miungu? Kwa taarifa yako kuna majasusi wa nchi jirani walishawahi kushika nyadhfa kubwa kubwa tu hapa nchini, tena sehemu nyeti kabisa.
 
Pongezi hizo ni kwa mujibu wa tweet yao hii:

#Burundi: Chama cha CNDD-FDD kinatoa pongezi kwa Dkt P.I. MPANGO baada kuidhinishwa kuwa Makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Umahiri na utendaji kazi wake ni chachu ya kuleta maendeleo Tanzania chini ya uongozi wa Raisi Samia S. Hassan. Viva @ccm_tanzania
Nilijua tu lazima muanzishe maneno.
 
Historia inasema Kigoma ilikuwa sehemu ya Ruanda-Urundi ya Belgiji mpaka mwaka 1924 hivyo watu wa Kigoma walikuwa ndani ya utawala wa Mfalme wa Ubelgiji na ndiyo maana utaona watu wengi wa Kigoma Ngara Kasulu waliweza kwenda kuishi Buyenzi Bujumbura kuoa kuolewa na kuzunguka ndani ya Ruanda-Urundi iliyokuwa inajumuisha na maeneo ya Kigoma.

Udugu huu wa enzi na enzi ulio maalum hauwezi kufa hivyo ni sahihi Burundi ya sasa kutuma salama kwa ndugu zao wa damu waliotenganishwa na dola za ulaya kupeana vipande vya nchi mwaka 1924. Na ghafla kukuta wajomba, mashangazi, binamu, kaka na kaka au dada na dada kujikuta wanahesabika kukaa ktk nchi tofauti. Kwanza 1890 waBelgiji na Ujerumani waligawana mapande ya Mwami ya Ruanda-Urundi. Kisha 1919 waRuanda-Urundi wa Kigoma wakajikuta tena wanasikilizia hatima yao kama watapelekwa Tanganyika ya Uingereza au kubakia Kigoma ya Beljii (Belgium). Suala hilo lilicheleweshwa mpaka 1924 na kujikuta wametupwa Tanganyika ya Uingereza kufuatia Muafaka wa Brussels wa mwaka 1924 kuwatoa watu wa Kigoma toka kwa waBelgiji na kuingiza chini ya utawala wa Mwingereza .
https://www.informea.org › treaties
Exchange of notes accepting the Protocol signed at Kigoma, 5 ...
Exchange of notes accepting the Protocol signed at Kigoma, 5 August 1924, relative to the ... Minister for Foreign Affairs at Brussels establish by letter the boundaries of Tanganika Lake

22. Exchange of notes accepting the protocol signed at Kigoma, on 5 august 1924, relative to the Tanganyika-Ruanda-Urundi frontier. Brussels, 17 May 192646,47​

(46League of Nations, Treaty Series, vol. 54, p. 239.)

(47See also the Agreement between the United Kingdom and Belgiun regarding Water Rights on the Boundary between Tanganyika and Ruanda-Urundi, London, 22 November 1934, in Legislative Texts and Treaty Provisions concerning the Utilization of International Rivers for Other Purposes than Navigation (United Nations publication, Sales No. 63.V.4), p. 97.)

No. 1 - The British Ambassador at Brussels to the Belgian Minister for Foreign Affairs

Brussels, 17 May 1926

Monsieur le Ministre,

I have the honour, under instructions from His Majesty's Principal Secretary of State for Foreign Affairs, to convey to Your Excellency by the present note the formal acceptance by His Majesty's Government of the Protocol signed at Kigoma on 5 August 1924, with its accompanying maps, as defining the boundary between Tanganyika territory and the Belgian mandated territory of Ruanda-Urundi.

I am at the same time instructed to draw the attention of the Belgian Government to paragraph 51 of the Protocol in question and to invite them to agree that, notwithstanding the new boundary in Lake Tanganyika which is defined by the said paragraph, all customary rights of fishing and passage exercised by natives living on either side of it should be preserved, but that, at the same time, even with regard to the rights of fishing and passage, the respective Governments should preserve their common law rights and should not, for instance, be debarred from levying a fishing tax on all persons alike who use their territorial waters.

I should be grateful if Your Excellency would be good enough to confirm to me that the Belgian Government is in agreement with His Majesty's Government with regard to the arrangements indicated in the preceding paragraph.

I avail myself of this opportunity, etc.

No. 2 - The Belgian Minister for Foreign Affairs to the British Ambassador at Brussels

Brussels, 17 May 1926

Your Excellency,

I have the honour to acknowledge receipt of your letter of today's date, in which you are good enough to inform the Royal Government that His Britannic Majesty's Government accepts the Protocol signed at Kigoma on August 5, 1924, with its accompanying maps, as defining the boundary between Tanganyika Territory and the Belgian mandated territory of Ruanda-Urundi.

The Belgian Government also approves these documents.

At the same time you draw the attention of the Belgian Government to paragraph 51 of the Protocol in question and invite them to agree that, notwithstanding the new boundary in Lake Tanganyika which is defined by the said paragraph, all customary rights of fishing and passage exercised by natives living on either side of it should be preserved, but that at the same time, even with regard to the rights of fishing and passage, the respective Governments should preserve their common law rights and should not, for instance, be debarred from levying a fishing tax on all persons alike who use their territorial waters.

The Belgian Government has the honour to confirm to Your Excellency that they are in agreement with His Britannic Majesty's Government with regard to these arrangements.

................................................................
9 December 2020

Rais Magufuli aeleza sababu ya somo la Historia kuwa la lazima​


Magufuli : Historia ya kweli ifundishwe, vijana lazima waifahamu historia yetu tumetoka wapi. Haiwezekani watoto wetu wafahamu historia ya Mansa Mussa wa huko Afrika ya Magharibi lakini hata ya "kwetu" hawaifahamu. ( Kigoma iliyokuwa ndani ya Ruanda-Urundi mpaka 1924 chini ya utawala wa Ubeljii) hawaifahamu.....



Watu wa Manyema DR Congo, Ruanda-Urundi na Kigoma wanastahili Pongezi
Na
kukumbukwa kwa kushiriki kumshinda vita Mjerumani wa iliyokuwa Ujerumani ya Afrika Mashariki

Nyarugusu, Tanzania



Source : Tanganyika TV

VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA​

SHUJAA TOKA TARAFANI FIZI Wakati huu wa kumbukumbu la Vita vya Kwanza vya Dunia (Première Guerre mondiale ) vya 1914-1918 ambavyo uitwa pia "Vita vikuu" (Grande guerre),tumkumbuke afisa (officier) shujaa toka Fizi wa Force Publique ya Congo-Belge,1er Sergent Major Mbavu Ndogo Michel (wengine wanamwita Mbavu Moya).

Kwa mwaka wa 1916, Ubeljiji (Belgique) iliamua kufukuza Wajermani katika inchi zao za ukoloni hasa Urundi (Burundi, kwa leo) na Tanganyika (Tanzania, kwa leo).Kamanda Mkuu wa Force Publique aliitwa Jemadari Charles Henri Marie Ernest Tombeur.

Sergent Mbavu Ndogo alikuwa kamanda wa kikosi kilichoitwa "Brigade du sud ". Le 6 juin 1916, alivamia Usumbura (Bujumbura, kwa leo) na kufukuza wa Allemands, chini ya uongozi wa afisa mbeleji Lieutenant-Colonel Frédérick Olsen.Tarehe 27 juillet 1916, Sergent Mbavu Ndogo kazibiti Kigoma.

Hapo Le 28 juillet 1916, akakamata Ujiji. Le 19 septembre 1916 akazibiti Tabora chini ya uongozi wa Général Tombeur. Le 9 octobre 1916, akadhibiti Mahenge chini ya uongozi wa Afisa mwengine wa kibeleji Lieutenant-Colonel Armand Huyghe. Sergent Mbavu Ndogo aliwafukuza wa Allemands Burundi na Tanzania. Général Tombeur alipewa tunzo kama "Baron Charles Tombeur de Tabora".

Lieutenant Colonel kapewa tunzo kama "Chevalier Armand de Mahenge". 1er Sergent Major Mbavu Ndogo kakumbukwa kwa mwaka wa 1958 baada ya Vita vya pili vya dunia (Deuxième Guerre mondiale 1940-1945) ambako huyo afisa shujaa wa RDC alipigana mara tena zidi ya Wajermani.

Kama tunzo : 1) Alipewa pete ya 1er Sergent Major wa Force Publique na akatumwa Bukavu. 2) Picha yake ilitiwa kwenye noti ya franka kumi (10 Fr) ya Banque Centrale du Congo-Belge et du Ruanda-Urundi. Benki kuu hiyo ilichapisha picha ya 1er Sergent Major Mbavu Ndogo Michel le 01 décembre 1958. 3) Wengine wanasema kwamba pale Bukavu/Kadutu Carrefour palikuwa monument yake.

Kwa leo, hakuna trace hata moja ya monument zaidi ya mitaa ya Kinshasa na Lumbumbashi nchini Free Congo State wakati wa Ukoloni wa mBelgiji kupewa majina ya “Avenue Kigoma”, “Avenue Tabora”, “Avenue Mahenge” na mji wa Boma kuwa na kambi ya kijeshi ya “Camp Tabora”. Mobutu Sese Seko pia alipata kuwa Mcongomani wa kwanza kupewa cheo cha Sajenti pengine ndiyo maana akaamua kumuenzi Master Sajenti Mbavu Ndogo Moya kwa ujasiri kupambana na dola uliyokuwa na nguvu ya Ujerumani chino ya Kaiser.

Source: VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA

Noti ya kutambua utumishi wa kutukuka iliyotolewa na Mfalme wa Ubelgiji kwa Sajenti-Major Mbavu Ndogo Moya

43879615_182126672664801_2217129751045210112_n.jpg
Congratulations to 1st Sergent Major Mbavu
 
We unadhani huko kwenye 'system' kuna miungu? Kwa taarifa yako kuna majasusi wa nchi jirani walishawahi kushika nyadhfa kubwa kubwa tu hapa nchini, tena sehemu nyeti kabisa.
Thibitisha mpango ni mrundi na unithibitishie wewe ni mtanganyika.

Yawezekana hata aina za uraia huzijui vizuri.

Leo mtoto wa AMBWENE YESAYA ALIYEZALIWA MAREKANI UnADHANI ATAKUWA KABILA GANI AU UTAIFA WAKE NI UPI?

watanzania mkue na muipende nchi yenu na msibaguane
 
Sasa kama ana asili ya kwao kwa nini wasipongeze kwa wakati huo huo ana uraia wa Tanzania kwa kuzaliwa na pia katiba imempa nafasi ya uongozi kama inavyotamka haki ya kila Mtanzia mwenye sifa ya kuongoza.
 
Mahesabu ya Jiwe yamekwenda ''shaghalabagala''.Aliteua mtu akidhani ni dhaifu ili aweze kumControl matokeo yake ndio hivyo tena!
Alichaguliwa na CCM, yeye alitaka Dr Hussein Ali
 
Dunia hii binadamu anahama na kuzunguka kila mahali na kufanya makazi anapoona panamfaa
Kama ni kweli na alizaliwa Tz well and good ilimradi hakuvunja sheria

Hata Al Sisi alipotangazwa kuwa Rais wa Egypt, nchi ya kwanza kumpongeza walikuwa Israel
Hapo soma historia ya Sisi
Kwa kweli wabongo likija suala hili la kutaka kujua wewe nani na unatoka wapi, ni wengi sana wana asili ya nchi Jirani
Ni wachache sana wana babu wa nne hapa
Kama katiba inaruhusu ni sawa tu
Sijui Bashe akiwa ulinzi itakuwaje just thinking [emoji848]
 
Dunia hii binadamu anahama na kuzunguka kila mahali na kufanya makazi anapoona panamfaa
Kama ni kweli na alizaliwa Tz well and good ilimradi hakuvunja sheria

Hata Al Sisi alipotangazwa kuwa Rais wa Egypt, nchi ya kwanza kumpongeza walikuwa Israel
Hapo soma historia ya Sisi
Kwa kweli wabongo likija suala hili la kutaka kujua wewe nani na unatoka wapi, ni wengi sana wana asili ya nchi Jirani
Ni wachache sana wana babu wa nne hapa
Kama katiba inaruhusu ni sawa tu
Sijui Bashe akiwa ulinzi itakuwaje just thinking [emoji848]
Watanzania asilia ni Wasandawe tu, kama unajijua lugha ya wazazi wako ipo kwenye magroup ya Kush, Nilotes, Bhantu wewe ni muamiaji tu kabla ya kuwekwa kwa hii mipaka ya kikoloni
 
Pongezi hizo ni kwa mujibu wa tweet yao hii:

#Burundi: Chama cha CNDD-FDD kinatoa pongezi kwa Dkt P.I. MPANGO baada kuidhinishwa kuwa Makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Umahiri na utendaji kazi wake ni chachu ya kuleta maendeleo Tanzania chini ya uongozi wa Raisi Samia S. Hassan. Viva @ccm_tanzania
Kwanza hiyo tweet haipo hapo.Kushiriki kuchangia Ni kujadili ujinga tu.
 
Back
Top Bottom