Chama cha CNN-FDD cha Burundi cha mpongeza Dr. Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais

Dr Isdory Ntibazokiza Mpango!!

Mh Rais alisema hilo jina la katikati hawezi kulitamka. Tanzania hatuna majina haya ya kina NTIBAZOKIZA😀
Ok wewe unayejiita mathew john au petro unajia ni majina ya wapi?
Elimu elimu elimu.

Tuachane na hilo. Asili ya watu wa burundi ni wapi?

Wangoni tulio nao hapa ni wapi?

Wamasai tulio nao hapa asili yao?

Wahaya unajua asili yao wapi? Hebu panua ubongo wako na usipanue sehemu iliyoweka akili finyu
 
Watanzania asilia ni Wasandawe tu, kama unajijua lugha ya wazazi wako ipo kwenye magroup ya Kush, Nilotes, Bhantu wewe ni muamiaji tu kabla ya kuwekwa kwa hii mipaka ya kikoloni
Hebu wape darasa hao mazwazwa
 
Kumbe ana-asili ya .... Sasa kama unajua hilo kwanini unakataza watu wasiulize?? Hata Obama alihojiwa akajibu Wala sio dhambi. Una povu mpka linamwagika
 
Wapi nimekataa? Uzwazwa ni pale kusema mtu ni wa sehemu fulani wakati haiko hivyo
 
Watanzania asilia ni Wasandawe tu, kama unajijua lugha ya wazazi wako ipo kwenye magroup ya Kush, Nilotes, Bhantu wewe ni muamiaji tu kabla ya kuwekwa kwa hii mipaka ya kikoloni
😀😀 Kwamba hao wasandawe mmoja wao ndio yule jamaa mwenye nyao zake pale Raitoria-Ngorongoro??
 
Wapi nimekataa? Uzwazwa ni pale kusema mtu ni wa sehemu fulani wakati haiko hivyo
Sasa wewe unawazuia watu kuuliza kama nani? Afu usilazimishe unachokiju wewe na wengine waamini, asili ya binadam nakuuliza
 
Kuna mwanasheria mkuu wa TBS aliwahi kufukishwa mahakamani 2017 kwa issue ya kutukwa raia. Hapo ndipo utaelewa system inaweza kusinzia pia.
Utakuwa ni uboya kwenye system nzima kama hawakulijua hilo watanzania muache chuki za kikabila

Mlitaka shirima au mwakatobe awe makamu ndio mridhike? Inashangaza sana
 
Ilikuwa wakati wa mkwere. Huo mkasa uliishaje mkuu?
We unadhani huko kwenye 'system' kuna miungu? Kwa taarifa yako kuna majasusi wa nchi jirani walishawahi kushika nyadhfa kubwa kubwa tu hapa nchini, tena sehemu nyeti kabisa.
 
Sahihi kabisa
Sasa kama ana asili ya kwao kwa nini wasipongeze kwa wakati huo huo ana uraia wa Tanzania kwa kuzaliwa na pia katiba imempa nafasi ya uongozi kama inavyotamka haki ya kila Mtanzia mwenye sifa ya kuongoza.
 
Watanzania asilia ni Wasandawe tu, kama unajijua lugha ya wazazi wako ipo kwenye magroup ya Kush, Nilotes, Bhantu wewe ni muamiaji tu kabla ya kuwekwa kwa hii mipaka ya kikoloni

Yaani nchi yote hiyo Ina aina na kabila moja tu
Hapo sijaelewa kabisa Ina maana maana wasandawe waliishi nchi nzima ndio wengine tukasukumizwa huko ama
 
Makabila yanye asili ya kibantu inasemekana yametokea Afrika Magharibi, Cameroun, Nigeria, Afrika ya Kati. Kama kabila lako lipo kwenye hayo makundi ni wewe ni muhamiaji tu sema wazazi wako waliwahi kuingia kwenye mipaka kabla ya Tanzania kuwepo na kabla ya wazazi wa Ntibakonziza.
 
😀😀 ulitaka shirima au mwakipesile ndio ujue huyu ni mtanzania halisi?

Angekuwa mwakipesile hawa waganga njaa wangesema nae sio mtanzania anatoka MALAWI!!!
 
Makabila yanye asili ya kibantu inasemekana yametokea Afrika Magharibi, Cameroun, Nigeria, Afrika ya Kati. Kama kabila lako lipo kwenye hayo makundi ni wewe ni muhamiaji tu sema wazazi wako waliwahi kuingia kwenye mipaka kabla ya Tanzania kuwepo na kabla ya wazazi wa Ntibakonziza.

Duu kwa hiyo Ina maana hata wewe ni mnijeria
 
Pongezi hizo ni kwa mujibu wa tweet yao hii:

#Burundi: Chama cha CNDD-FDD kinatoa pongezi kwa Dkt P.I. MPANGO baada kuidhinishwa kuwa Makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Umahiri na utendaji kazi wake ni chachu ya kuleta maendeleo Tanzania chini ya uongozi wa Raisi Samia S. Hassan. Viva @ccm_tanzania
Home boy,...!!!!
 
Back
Top Bottom