Ok wewe unayejiita mathew john au petro unajia ni majina ya wapi?Dr Isdory Ntibazokiza Mpango!!
Mh Rais alisema hilo jina la katikati hawezi kulitamka. Tanzania hatuna majina haya ya kina NTIBAZOKIZA😀
Hebu wape darasa hao mazwazwaWatanzania asilia ni Wasandawe tu, kama unajijua lugha ya wazazi wako ipo kwenye magroup ya Kush, Nilotes, Bhantu wewe ni muamiaji tu kabla ya kuwekwa kwa hii mipaka ya kikoloni
Kumbe ana-asili ya .... Sasa kama unajua hilo kwanini unakataza watu wasiulize?? Hata Obama alihojiwa akajibu Wala sio dhambi. Una povu mpka linamwagikaOk wewe unayejiita mathew john au petro unajia ni majina ya wapi?
Elimu elimu elimu.
Tuachane na hilo. Asili ya watu wa burundi ni wapi?
Wangoni tulio nao hapa ni wapi?
Wamasai tulio nao hapa asili yao?
Wahaya unajua asili yao wapi? Hebu panua ubongo wako na usipanue sehemu iliyoweka akili finyu
Wapi nimekataa? Uzwazwa ni pale kusema mtu ni wa sehemu fulani wakati haiko hivyoKumbe ana-asili ya .... Sasa kama unajua hilo kwanini unakataza watu wasiulize?? Hata Obama alihojiwa akajibu Wala sio dhambi. Una povu mpka linamwagika
😀😀 Kwamba hao wasandawe mmoja wao ndio yule jamaa mwenye nyao zake pale Raitoria-Ngorongoro??Watanzania asilia ni Wasandawe tu, kama unajijua lugha ya wazazi wako ipo kwenye magroup ya Kush, Nilotes, Bhantu wewe ni muamiaji tu kabla ya kuwekwa kwa hii mipaka ya kikoloni
Sasa wewe unawazuia watu kuuliza kama nani? Afu usilazimishe unachokiju wewe na wengine waamini, asili ya binadam nakuulizaWapi nimekataa? Uzwazwa ni pale kusema mtu ni wa sehemu fulani wakati haiko hivyo
Utakuwa ni uboya kwenye system nzima kama hawakulijua hilo watanzania muache chuki za kikabila
Mlitaka shirima au mwakatobe awe makamu ndio mridhike? Inashangaza sana
We unadhani huko kwenye 'system' kuna miungu? Kwa taarifa yako kuna majasusi wa nchi jirani walishawahi kushika nyadhfa kubwa kubwa tu hapa nchini, tena sehemu nyeti kabisa.
Sasa kama ana asili ya kwao kwa nini wasipongeze kwa wakati huo huo ana uraia wa Tanzania kwa kuzaliwa na pia katiba imempa nafasi ya uongozi kama inavyotamka haki ya kila Mtanzia mwenye sifa ya kuongoza.
Watanzania asilia ni Wasandawe tu, kama unajijua lugha ya wazazi wako ipo kwenye magroup ya Kush, Nilotes, Bhantu wewe ni muamiaji tu kabla ya kuwekwa kwa hii mipaka ya kikoloni
Makabila yanye asili ya kibantu inasemekana yametokea Afrika Magharibi, Cameroun, Nigeria, Afrika ya Kati. Kama kabila lako lipo kwenye hayo makundi ni wewe ni muhamiaji tu sema wazazi wako waliwahi kuingia kwenye mipaka kabla ya Tanzania kuwepo na kabla ya wazazi wa Ntibakonziza.Yaani nchi yote hiyo Ina aina na kabila moja tu
Hapo sijaelewa kabisa Ina maana maana wasandawe waliishi nchi nzima ndio wengine tukasukumizwa huko ama
😀😀 ulitaka shirima au mwakipesile ndio ujue huyu ni mtanzania halisi?
Warundi wanajuana
Onesha wapi nimekataa watu wasiulizeSasa wewe unawazuia watu kuuliza kama nani? Afu usilazimishe unachokiju wewe na wengine waamini, asili ya binadam nakuuliza
Makabila yanye asili ya kibantu inasemekana yametokea Afrika Magharibi, Cameroun, Nigeria, Afrika ya Kati. Kama kabila lako lipo kwenye hayo makundi ni wewe ni muhamiaji tu sema wazazi wako waliwahi kuingia kwenye mipaka kabla ya Tanzania kuwepo na kabla ya wazazi wa Ntibakonziza.
mimi msandawe wa KondoaDuu kwa hiyo Ina maana hata wewe ni mnijeria
Home boy,...!!!!Pongezi hizo ni kwa mujibu wa tweet yao hii:
#Burundi: Chama cha CNDD-FDD kinatoa pongezi kwa Dkt P.I. MPANGO baada kuidhinishwa kuwa Makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Umahiri na utendaji kazi wake ni chachu ya kuleta maendeleo Tanzania chini ya uongozi wa Raisi Samia S. Hassan. Viva @ccm_tanzania
Wa kunyumbaNasikia ni mtu wetu yule
Wa kukayaWarundi hawa wamempongeza.