Chama cha CNN-FDD cha Burundi cha mpongeza Dr. Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais

Simulizi za Mzee Ahmad Ibrahim Bakundukize : Vuguvugu la kisiasa 1950 - 1960 nchi za Maziwa Makuu za Tanganyika, Burundi, Ruanda na Congo Zaire


Waswahili wa nchi hizi 4 wamefanya makubwa bila kujali mipaka ya nchi zao, waliunganishwa na lugha ya kiSwahili na u-mjini wao kuwa popote ni kambi hivyo palipo na "waswahili" yaani panapoongewa lugha ya kiSwahili ni nyumbani na Panafaa kuongoza harakati.

Source : Mashariki TV
 
Simulizi za Mzee Ahmad Ibrahim Bakundukize : Wazee wa Tanganyika na Parti Politique UPRONA 1960 - 1970

 
Aiseee jamani CCM tupumzisheni , Amefarika Zanzimana hata maua hayajakauka mnaleta Mhutu mwingine Ntibazonkiza Nzabayanga , sasa Hawa ndio wamekuja kuthibitisha kabisaaa .
 
Mpenyezo kuanzia kwenye Majeshi Usalama na hatimae...

Cha muhimu ni Utanzania kwa maana chuki za Kikabila tulishazimaliza baina ya Masai na Wasukuma tusije tena tukajikuta tukiangaliana Pua ipi kubwa.
 
Ntibazonkiza Nzabayanga

Wa kulekule wakunyumba awe katoka Manyovu, Heru Juu Kasulu Kibondo, Buyenzi Usumbura Urundi au Nyakahura Biharamulo Tanganyika wote ni wa himaya kubwa ya Ruanda-Urundi chini ya Mwami .... wakoloni walitugawa tukajikuta tupo ktk nchi 4 tofauti za Maziwa Makuu yaani DR Congo Mashariki, Burundi, Rwanda na Tanganyika a.k.a Tanzania bara.
 
Simulizi za Mzee Ahmad Ibrahim Bakundukize : Wazee waSwahili wa Buyenzi Bujumbura wamkaribisha mtoto wa chifu / mwami Rudoviko Rwagasore ambaye ni msomi ktk harakati zao za kuipatia Burundi uhuru toka kwa m-Beljii.

Nyerere apendekeza kiundwe chama cha pili cha upinzani zaidi ya UPRONA kuwazuga wakoloni wasiigawe UPRONA vipande....chama hiki cha upinzani feki kitaisaidia UPRONA isisumbuliwe sana na serikali ya kikoloni ktk harakati za kupingania uhuru....maana wakoloni wataelekeza nguvu na matumaini ya kudhoofisha UPRONA kwa kuwekeza nguvu zao ktk chama cha Siasa feki
Source: Mashariki TV
Ubuzima bwiwe - Pinterest mwami Rudoviko (Louis)Rwagasore
 
Hussein Mwinyi sio Mzanzibar

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wanampongeza Makamu Rais lakini hawakujitokeza kumpongeza Rais, je kulikoni?

Kiukweli walimpongeza Samia siku Ile uwanja wa Taifa kama kumbukumbu zangu ziko sawa
 
#Burundi: Chama cha CNDD-FDD kinatoa pongezi kwa Dkt P.I. MPANGO baada kuidhinishwa kuwa Makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Umahiri na utendaji kazi wake ni chachu ya kuleta maendeleo Tanzania chini ya uongozi wa Raisi Samia S. Hassan. Viva @ccm_tanzania https://t.co/hUL1v2tpe0
[emoji867]
Hivi inakuwaje Warundi wampongeze Makamu wa Rais Badala ya kumpongeza Rais?
Inadaiwa Makamu wetu wa Rais ana asili ya Burundi,isije kuwa mkakati wa BAHIMA EMPIRE unakaribia kuiva.
Haya yaliwatokea puani Warusi wakidhani Gorbachev ni mwenzao kumbe ni pandikizi la US.
Rejea tetesi za mtaalamu wa IT Jeshini kutoweka ghafla nchini akidaiwa kukimbilia nchi jirani wakati wa JK.
Narudi tena,kwa nini apongezwe Vice President na siyo President?
Mwenye Document yoyote ya CNDD-FDD kumpongeza Rais wetu aweke hapa otherwise, we have an extremely poor intelligence.
Kalieni kuipenda CCM Badala ya kuipenda Tanzania mtakuja kuvuna mabua.
 
Kwani Tanganyika iliungana na Burundi na kuwa Tanzania au iliungana na Zanzibar na kuwa Tanzania?
Unafeli sana.
 
Ali Hassan Mwinyi
 
Nachojua kuna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuunda Tanzania uliofanyika tarhe 26 April 1964, huu muungano w Tanganyika na Burundi au Congo ulifanyika lini?
 
Mahesabu ya Jiwe yamekwenda ''shaghalabagala''.Aliteua mtu akidhani ni dhaifu ili aweze kumControl matokeo yake ndio hivyo tena!
Una uhakika Huyo JIWE ndiyo alimteua mgombea mwanza?

Msimtwishe maoni yenu kuwa vitendo vya hayati Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinana alishakua mpk naibu waziri wa ulinzi.
 
Burundi tenaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…