DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #61
Unajua wengi huwa wanachanganya kati ya Medical Coucil of Tanganyika (MCT) -Baraza la madaktari Tanganyika..Medical Association of TANZANIA (MAT) wakienda mahakamani wanashinda haraka sana mkuu. Serikali inawasingizia kushirikishwa wakati walioshirikishwa ni Medical Association of TANGANYIKA (MAT). Ndicho ninachomanisha hapa mkuu.
Na Medical Association Of Tanzania (MAT) ..
Sasa nahisi kwenye uandishi alidhani vyote ni Tanganyika 😂😂