Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Chapinga kushirikishwa katika Mchakato Mzima wa Maoni ya "Bima Ya Afya kwa wote" Kama serikali ilivyosema

Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Chapinga kushirikishwa katika Mchakato Mzima wa Maoni ya "Bima Ya Afya kwa wote" Kama serikali ilivyosema

Medical Association of TANZANIA (MAT) wakienda mahakamani wanashinda haraka sana mkuu. Serikali inawasingizia kushirikishwa wakati walioshirikishwa ni Medical Association of TANGANYIKA (MAT). Ndicho ninachomanisha hapa mkuu.
Unajua wengi huwa wanachanganya kati ya Medical Coucil of Tanganyika (MCT) -Baraza la madaktari Tanganyika..
Na Medical Association Of Tanzania (MAT) ..

Sasa nahisi kwenye uandishi alidhani vyote ni Tanganyika 😂😂
 
Niliiona ile interview ya Moo baada ya kutoka matekani nikajua hapa ni usaniii tu.

Wazee wakibana pumbu vizuri unakaa kimya tu.
Hatari sana Mkuu

Tangu nione baadhi ya matukio ya utekaji na utesaji wa wale jamaa, niko naheshimu sana mtu mwenye madaraka.

Ndiyo maana sisi Wazee tulikuja na msemo wa kuwaheshimu walioshika kisu kwenye mpini wakati sisi tukiwa tumeshika kwenye makali 🙌
 
Back
Top Bottom