Chama cha Mapinduzi champongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia

Mkuu nendeni mkakae na IGP pamoja na Msajili mtalalamika huko,

Hayo mambo hamuhusu Rais,
 
Ametiririka vizuri. Swali dogo tu. Pongezi hizi zimetolewa na Kamati Kuu au Halmashauri Kuu ya CCM na katika kikao cha tarehe ipi
 
Ametiririka vizuri. Swali dogo tu. Pongezi hizi zimetolewa na Kamati Kuu au Halmashauri Kuu ya CCM na katika kikao cha tarehe ipi
Kwani Wewe ni mjumbe katika hivyo vikao?


KAZIIENDELEE KWA KASI NA NGIVU ZAIDI
 
Au
Your browser is not able to display this video.
 
14|10|2021

Kesho Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge karibu sana
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,


_________________
 
Dogo mtahangaika Sana! ccm haina mvuto hata mfanye kitu gani hakuna kitu mtabadili labda mkubali katiba mpya
 
Hakika Rais wetu anastahili pongezi sana,

Mambo anayoyafanya yalishindikana miaka na miaka,

Leo amejitahidi katika sekta mambo yanakwenda,

Hongera CCM || Hongera Rais Samia
Poor you! kujenga madaraka au madawati, kawadanganyeni wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…