Chama cha walimu wasio na ajira (NETO) kiongeze wigo hadi kuwa Chama cha vijana wasio na ajira (NEYO)

Chama cha walimu wasio na ajira (NETO) kiongeze wigo hadi kuwa Chama cha vijana wasio na ajira (NEYO)

Ukisoma comment kwenye mambo ya msingi yanayohitaji u seriously utakuwa wengi ni vijana wenye elimu ya juu na wanashindwa kuweka usomi wao kwenye mambo yanayohitaji mchango wao wakielimu kwa faida ya taifa walilopo
 
Ushauri
Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO)
Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth Organization (NEYO)


Karibuni kwa maoni
Asanteee😂
 
msipige jembe.. nyie bakini na NEYO miaka inasonga madogo

mfumo wa elimu umebadilika sasa wadogozenu wanakuja apo nyuma na stadi za kutosha hadi hiyo ajira serikalini wataitiwa na kuzikataa

mlipaswa ukimbilie veta mkasome tena upya stadi za maisha kwani naona elimu mliofuata huko uwalimu ni kama haijawakomboa kwa lolote
 
Back
Top Bottom