Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Alisikika Waziri anaesimamia TISS na mwingine akisema suala ukosefu ajira Lina direct effect kwenye usalama wa nchi, ila wakasikika wengine wakiwazuzua wahanga kwa kuwatolea hata matusi na wengine wakaapply kamatakamata.
To be continued..
To be continued..