Chama cha walimu wasio na ajira (NETO) kiongeze wigo hadi kuwa Chama cha vijana wasio na ajira (NEYO)

Chama cha walimu wasio na ajira (NETO) kiongeze wigo hadi kuwa Chama cha vijana wasio na ajira (NEYO)

Ushauri
Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO)
Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth Organization (NEYO)

Karibuni kwa maoni
cha walimu peke yao ndio kinabamba, mpaka serikali imetishika kwa uwepo wake. Labda hao wengine wasio na ajira NEYO waunde chama chao halafu hivyo vyama vya wasioajiriwa viunde shirikisho la vyama vya wasioajiriwa ONEF
 
Duh hilo shirikisho la wasio na ajira litakuwa dude kubwa mno ccm wanaweza kuteka watu laki
 
Ushauri
Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO)
Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth Organization (NEYO)

Karibuni kwa maoni
1740503914653.png
 
SerikLi ya ccm inaogopa raiya wake
 
Raisi wa majobless Intelligent businessman analijua hili kwelii au hajashirikishwa?
Mkuu hicho chama ni feki na kina tumia idea zetu kujipa uhai, ila sera zetu na zao ni tofauti.

sisi tuna lenga kuunda mikakati na mipango thabiti, ni kwa namna gani jobless ana weza kuji komboa kiuchumi na hata kimawazo.

Na sio kuropoka hovyo, kusema mta sema ila at the end of the day nothing happens.
 
Kuna chama kimeazishwa huko kipo kina karibia Wanachama 11000 kipo kinaitwa (UYAM) unemployed youth allied movement
Serikali kaeni chini muone namna Bora ya kukaa na vijana sisi maana naiona Tanzania isiyo salama kabisa vijana wanapitia maumivu makali sana
Wasomi wengi wamejiajiri kwenye boda boda Nako wanaishi kwa stress TU ukifungua biashara kidogo TU mambo ni mengi mara leseni bado tra Yani hii nchi acha TU boda boda Nako latra mfukuzano TU yaani shida tupu
 
NON YOUTH EMPLOYED TANZANIA ORGANIZATION - NYETO.

Ngoja nifanye kazi kwanza😂
 
Back
Top Bottom