Chama changu CCM mkitaka tusiwe wapinzani groom Vijana wengi ila kwa sasa macho yenu yaweke kwa Vijana hawa

Masele Anaonekana ni leadership material. Hata Akina Julius Malema walionekana walimpenda enzi zake za Bunge la Africa. Ndugai kwa kiburi na wivu wake akamtoa.
 
Kwanini Mimi sionekani wakati napiga kazi sana pamoja na mke wangu? CCM nyie wabaguzi sana.
Ndivyo walivyo unaweza ukapiga kazi sana mwisho wa siku kama huna mtu huko upstairs unatupwa kwenye dustbin na matusi juu !! Hawana kheri hao. !! “Karma “ very soon !!
 
safi sana....nimeipenda hii.
ukisikia uchawa-digitali ndio huu.
wao wenyewe willingly watakupigia, watakushukuru, halafu wataingia kwenye simu zao kukufanyia miamala.

kiutani utani, unaweza ukajikusanyia millioni na ushee kwa kathread kamoja tu.
 
Namkubali zaidi Bashungwa akifuatiwa na Bashe, hawa hawana element za kujipendekeza ili wabebwe, siku zote huwa nawaona wanasimama wao kama wao.

Lakini ulipoharibu kabisa ni kwa huyo dada DED, huyo kwangu ndie msanii namba moja kwenye hiyo orodha yako.

Sijawahi kuona chochote cha maana toka kwake mpaka umsifu ndie DED bora kwa sasa, zaidi ya kiki anazotafuta mitandaoni kwa kujisifia kuwavisha n'gombe hereni, na hiyo yako mpya ya kusema alitongozwa na mzito akamkataa, kama vile yeye ndie mwanamke wa kwanza kumkataa mwanaume aliyemtongoza!.
 
Nam
 
Reactions: Ame
Namba 1,2 hao wanajulikana kama sio wa nchi hii, namba 3 huyo ni mzee sio kijana, namba 6 huyu nae urai wake una mashaka sema anapiga kazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…