Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Naomba kwa yeyote yule mwenye utashi a akili timamu afahamu hilo, na umuhimu wa ufahamu huu sio hiari bali ni sharti na wajibu kwa kila awaye miongoni mwetu.
Utanzania hauna siasa, dini, ukabila, elimu, ukanda.
Siku ya mwisho kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe.
Njia ile ni nyembamba iendayo uzimani.
Mungu akawe nguzo ya utashi na akili kwa kila mmoja wetu na katika wingi wetu.
Ameni
Wadiz