William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Uko sahihi kabisa 👏👏👏Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni...
Akiondoka Simba ndo kwisha habar yake.Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni.
Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja.
Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali kagombanishwa
Taarifa iliyotolewa imemjumuisha kapama kama chambo tu. Baada ya chama anafata Phiri.
Laana ya Chama haitawaacha viongozi salama. Leo mfukuzeni lakini mjue alistaili kuondoka kwa heshima ata kama aliikuwa na Makosa gani!..
Na kama yapo yangesemwa basi.
Mimi ni simba lakini ntamshabikia chama kokote atakapoenda.
Mkuu chama alimbishia live tena mbele ya mashabiki WA Simba kocha wa viungo je hii sio utovu wa nidhamu unadhan hakuna anayempenda chama?Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni.
Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja.
Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali kagombanishwa
Taarifa iliyotolewa imemjumuisha kapama kama chambo tu. Baada ya chama anafata Phiri.
Laana ya Chama haitawaacha viongozi salama. Leo mfukuzeni lakini mjue alistaili kuondoka kwa heshima ata kama aliikuwa na Makosa gani!..
Na kama yapo yangesemwa basi.
Mimi ni simba lakini ntamshabikia chama kokote atakapoenda.
Tunawajua ninyi utopolo!Chama ni mmoja wa wachezaji mliomtumia kimkakati na mmekuwa mkifanikiwa sana na mikakati yenu.Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni.
Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja.
Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali kagombanishwa
Taarifa iliyotolewa imemjumuisha kapama kama chambo tu. Baada ya chama anafata Phiri.
Laana ya Chama haitawaacha viongozi salama. Leo mfukuzeni lakini mjue alistaili kuondoka kwa heshima ata kama aliikuwa na Makosa gani!..
Na kama yapo yangesemwa basi.
Mimi ni simba lakini ntamshabikia chama kokote atakapoenda.
Anakwenda Yanga, jiandae kumfuata.Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni.
Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja.
Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali kagombanishwa
Taarifa iliyotolewa imemjumuisha kapama kama chambo tu. Baada ya chama anafata Phiri.
Laana ya Chama haitawaacha viongozi salama. Leo mfukuzeni lakini mjue alistaili kuondoka kwa heshima ata kama aliikuwa na Makosa gani!..
Na kama yapo yangesemwa basi.
Mimi ni simba lakini ntamshabikia chama kokote atakapoenda.
Katoe mahari akupe!Mimi ni simba lakini ntamshabikia chama kokote atakapoenda.
Hii umeisema kwa uchungu sana b…Chama amechosha sana kwa vitendo vyake vya nje ya uwanja. Kwa kweli, nahitaji zaidi utulivu pale Simba, so Chama aende tu ili tupumzike na vituko vyake.
Ova
Mkuu, acheni haya mambo ya kiswahili!Tunawajua ninyi utopolo!Chama ni mmoja wa wachezaji mliomtumia kimkakati na mmekuwa mkifanikiwa sana na mikakati yenu.
Dirisha dogo nashauri safisha safisha kubwa ifanyike
Simba ndiyo mnatakiwa muingie kwenye mfumo wa Chama, badala yake ninyi mnafanya kinyume kwa kumpa afhabu.Mkuu chama alimbishia live tena mbele ya mashabiki WA Simba kocha wa viungo je hii sio utovu wa nidhamu unadhan hakuna anayempenda chama?
Huyo amepuyanga inatakiwa atulie na aombe radhi aache ujuaji
Hivi kwa mechi nne alizocheza unadhan sisi mashabiki tunalaumu yeye kuanzia benchi......
Chama aache ulimbukeni awe na subra
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app