Chama hajagombana na kocha bali viongozi. Ata kama mmemchoka mmuache kwa heshima sio mizengwe ameifanyia makubwa klabu pia

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni.

Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja.

Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali kagombanishwa

Taarifa iliyotolewa imemjumuisha kapama kama chambo tu. Baada ya chama anafata Phiri.

Laana ya Chama haitawaacha viongozi salama. Leo mfukuzeni lakini mjue alistaili kuondoka kwa heshima ata kama aliikuwa na Makosa gani!..

Na kama yapo yangesemwa basi.

Mimi ni simba lakini ntamshabikia chama kokote atakapoenda.
 
Akiondoka Simba ndo kwisha habar yake.
 
Mkuu chama alimbishia live tena mbele ya mashabiki WA Simba kocha wa viungo je hii sio utovu wa nidhamu unadhan hakuna anayempenda chama?

Huyo amepuyanga inatakiwa atulie na aombe radhi aache ujuaji

Hivi kwa mechi nne alizocheza unadhan sisi mashabiki tunalaumu yeye kuanzia benchi......

Chama aache ulimbukeni awe na subra

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Tunawajua ninyi utopolo!Chama ni mmoja wa wachezaji mliomtumia kimkakati na mmekuwa mkifanikiwa sana na mikakati yenu.
Dirisha dogo nashauri safisha safisha kubwa ifanyike
 
Anakwenda Yanga, jiandae kumfuata.
 
Tunaofahamu figusu za AJIRA tumekuelewa mkuu.
Binafsi sioni kama Simba Imetulia sana tangu ipate kipigo cha 5-1.

Viongozi wanajaribu kuweka level mambo mengi yanayowasumbua kutokana na kelele za mashabiki ili wasionekane kuwa ni wadhaifu.
Bado naamini kuwa hapo SSC kuna udhaifu mkubwa hasa kwa viongozi na sio wachezaji.
 
Chama amechosha sana kwa vitendo vyake vya nje ya uwanja. Kwa kweli, nahitaji zaidi utulivu pale Simba, so Chama aende tu ili tupumzike na vituko vyake.

Ova
 
Hii umeisema kwa uchungu sana b…
Ni kama kuachana na mtu unayempenda, huna jinsi zaidi ya kumwacha aende juu ya vituko vyake.

Ila hili ni donda mlilolilea wenyewe, hakuna msimu ambao Chama haleti drama.
Mnamlamba lamba maisha yanaendelea, mwisho ndio hivi sasa.

Tulipowaachia watukutu mlituona wabaya, mkamsema Hersi ana roho mbaya.
Huyo Feisal mnayemlilia atakuja kuwafanyia hayahaya, na hivi yuko karibu na huyo Chama mtafurahi.
 
Tunawajua ninyi utopolo!Chama ni mmoja wa wachezaji mliomtumia kimkakati na mmekuwa mkifanikiwa sana na mikakati yenu.
Dirisha dogo nashauri safisha safisha kubwa ifanyike
Mkuu, acheni haya mambo ya kiswahili!
Chama ana makosa yake kweli ila mpeni heshima yake.

Tunamtumia akatuadhibu namna ile kwenye ile mechi ya ligi kuu mliyoshinda 2-0 dhidi yetu?
Yule ndiye mchezaji anayetumika na sisi?
Kiuhalisia Chama huwa anang’ara mnapokutana na sisi zaidi.
 
Mkuu chama alimbishia live tena mbele ya mashabiki WA Simba kocha wa viungo je hii sio utovu wa nidhamu unadhan hakuna anayempenda chama?

Huyo amepuyanga inatakiwa atulie na aombe radhi aache ujuaji

Hivi kwa mechi nne alizocheza unadhan sisi mashabiki tunalaumu yeye kuanzia benchi......

Chama aache ulimbukeni awe na subra

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Simba ndiyo mnatakiwa muingie kwenye mfumo wa Chama, badala yake ninyi mnafanya kinyume kwa kumpa afhabu.
 
Wachezaji wakidai stahiki zao wanaambiwa hawana nidhamu huyo kapama aliacha kwenda mazoezini na sijui kama mnamlipa maana alisema anafanya tuu mazoezi huku achezi mmemtoa sadaka na Chama wakati ni ishu mbili tofauti...
 
Back
Top Bottom