William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni.
Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja.
Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali kagombanishwa
Taarifa iliyotolewa imemjumuisha kapama kama chambo tu. Baada ya chama anafata Phiri.
Laana ya Chama haitawaacha viongozi salama. Leo mfukuzeni lakini mjue alistaili kuondoka kwa heshima ata kama aliikuwa na Makosa gani!..
Na kama yapo yangesemwa basi.
Mimi ni simba lakini ntamshabikia chama kokote atakapoenda.