Tetesi: Chama Kipya cha Siasa kusajiliwa hivi karibuni

Wapi Andrew Chenge
😜 mtemi amegoma kuyumba, anarejea Jimbo la Itilima kwa njia ile ile aliyofungiwa na hayati Magu. Huyu tamaa yake ni ile kiti ya Tulia ackson, patamu hapo
 
Safi sana, Siipendi CCM ila pia nimeichoka Chadema wacha tu Upinzani ufe kabisa unatuchafulia nchi pasipo Tija.
Chadema inakosea kila Awamu hatuna namna ya kuisaidia tuachane nayo sasa ina Upinzani wa Michongo sana Chini ya Mpuuzi Mbowe.
 
Safi sana, Siipendi CCM ila pia nimeichoka Chadema wacha tu Upinzani ufe kabisa unatuchafulia nchi pasipo Tija.
Chadema inakosea kila Awamu hatuna namna ya kuisaidia tuachane nayo sasa ina Upinzani wa Michongo sana Chini ya Mpuuzi Mbowe.
😳 eeboo.......
 
Akifanikiwa atakuwa amefanya jambo la msingi, aweke kambi kanda ya ziwa achukue kura za Pro Magufuli na Chadema waweke kambi kaskazini na Nyanda za Juu halafu tuone hao CCM kama kura zao za Pwani zitawarudisha madarakani. Dr. Slaa na Mpina ni wanasiasa pekee wameweza kubaki upande wa JPM.
 
Tlaatlaah wewe ni mpumbavu. Dkt Slaa ni mwerevu mwenye hekima ya uongozi. Ni mvumulivu ila huwezi ku mcompromise kabisa. Ndiyo ana madhaifu mengine lakini siyo mla rushwa kama mbowe. Siyo mnafiki kama zito, siyo tapeli kama lema. Siyo mdini kama lipumba. Kwa ujumla ulichoandika kuhusu mbowe umejionesha ujinga wako. Mtu yeyote mwenye akili asingekubali lowasa awe mgombea wa chama ambacho kilisema kina ushahidi usiokuwa na shaka ni fisadi. Hivi wewe na wajinga wenzako mlimsafishaje lowasa na ufisadi na kukubali awe mgombea wenu????? Narudia tena wewe ni mpumbavu.
 
sawa mtumishi.
Mungu akubarika sana kwa mawazo yako dhidi ya hoja yangu.
Una upeo mkubwa na wa kipekee mno, una hoja za maana na mashiko sana, una uchungu na mapenzi ya dhati si tu kwa dr.slaa bali nahisi ni kwa nchi nzima. Nakuona unavyoghadhabishwa na rushwa, utapeli, unafiki, udini na ukabila, na ukadiriki kwataja wahusika. Nimeogopa.

Nashukuru umekua muwazi na mkweli kutoa ya moyoni japo kwa kiasi uanweza athiri utu wa wa watu, kwakua inaweza isiwe hivyo unavyowafikiria kuhusu udini, rushwa na ukabila.

Binafsi sihusiani na yeyote miongoni mwa unaowapinga kwa kuwaita ulivyowaita na unaowaunga mkono.
Nasimama na mawazo na mtazamo wangu dhidi ya siasa za Padre,Dr. Wilbrod Peter Slaa katika siku za usoni. Hao wngine huwenda nikawajadili sehemu nyingine na maudhui mengine.

Hayo mahaba hako ya dhati hadi kuniona mie mjinga na mpumbavu labda sina majibu nayo kwasasa na sidhani kama nitakua nayo hata wakati mwingine.
Nachelea kukuomba radhi sana kwa hilo pamoja na hoja yangu ikiwa nimekukwaza ChawaWaMama
 
Mnachotwa kimawazo na hawa kenge na nyie mnakubali. Hivi unadhani Dr Slaa akiamua kurudi Chadema atakataliwa? Hivi unafikiri chama cha Zitto cha ACT kilichokosa mvuto kabisa Tanganyika kikipata mtu kama Dr Slaa kitakataa? Si watamlamba miguu miguu?
Chadema wenyewe wanasema ukiwawekea andazi na Silaa, wanachukua andazi, babu padre slaa kila anakoenda anakataliwa so hata akianzisha chama chake hakuna watakaomfuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…