Tetesi: Chama Kipya cha Siasa kusajiliwa hivi karibuni

Muda wa mavuno kwa wanasiasa uchwwara
 
Dr.Slaa ameshaanza kuharibikiwa uzeeni! Yeye angeachana na shughuli za kisiasa atulie basi.
Yaani hakuna platform nzuri inayoweza kumfaa zaidi ya CDM! CDM kwa sasa iko mioyoni mwa Wananchi kuliko hata CCM pamoja na kwamba CDM hawana mgombea wa Urais wa uhakika ambaye anaweza kupambana na CCM kwa sababu ya Katiba mbovu.
Dhambi aliyofanya ya kuikimbia CHADEMA inamgharimu mno.
Ni afadhari kwenye hili Sakata la bandari angetunza ulimi wake vizuri basi angefikiria kuiangukia magoti CCM wampokee harafu wamtafutie hata ubunge wa kuteuliwa lakini siyo CDM au Chama cho chote.
Anyway hatujui amejipangaje! Tusimdharau.
 
....interesting........
 
Kwa katiba yetu hata muungane wote the sitting president hawezi kufanywa lolote maana vyombo vyote vya maamuzi vinamtii yeye,matokeo ya kura anatangaza yeye anayoyataka yeye kwa kupitia midomo ya vyombo vya yeye huku akilindwa na kila aina ya vyombo vya ulinzi anavyoteua yeye
 
Kwa nini unatuwekea tetesi bila kusubiri kuihakiki habari kamili?

Hapa nadhani lengo lako ni kupima upepo wa kisiasa kuona namna watu wanavyocomment au ni njia ya kisayansi ya kumchafua mtu.
 
Safi sana, Siipendi CCM ila pia nimeichoka Chadema wacha tu Upinzani ufe kabisa unatuchafulia nchi pasipo Tija.
Chadema inakosea kila Awamu hatuna namna ya kuisaidia tuachane nayo sasa ina Upinzani wa Michongo sana Chini ya Mpuuzi Mbowe.
Karibu Demecratic party
 
Hz
Ni propaganda za umoja party hizi chama kilichojifia kifo cha asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…