Chama Kipya cha siasa - Umoja Party - Ni mwisho wa ccm, Ccm B au Upinzani?

Sambaratikeni tu Dunia inaihitaji Chadema ...
Ndiyo sababu tunahitaji vichwa huru, Wewe na ccm wote ni wamoja.
Mnakariri vitu na akili kavu kama kuni, confined mindsets, kila mtu akija na wazo tofauti kwa ccm ni CHADEMA, na kwa wewe ukiona kitu tofauti akilil yako inakutuma kuwa ni CCM. My dear, Tanzania is so much bigger than the sphere of your your ccm and chadema.
 
Mataga?
 
Kwako kipi bora, Making Tanzania Great Again, kurejesha Tanzania katika ubora wake kwa maslahi ya Watanzania wote? au Sofisticating and Sustaining Ufisadi, kuboresha na kujenga ngome ya ufisadi endelevu katika Tanzania kwa maslahi ya familia tatu?
Chagua.
 
Pamoja na wingi wa vyama vyote tulivyonavyo bado tunauhitaji wa chama kipya?
 
Kwako kipi bora, Making Tanzania Great Again, kurejesha Tanzania katika ubora wake kwa maslahi ya Watanzania wote? au Sofisticating and Sustaining Ufisadi, kuboresha na kujenga ngome ya ufisadi endelevu katika Tanzania kwa maslahi ya familia tatu?
Chagua.
Laana inawatafuna....
 
Piga vyama vyote chini...., vyote vinaangalia maslahi kwa Chama / Vyama na sio Vinginevyo

Kwako kipi bora, Making Tanzania Great Again, kurejesha Tanzania katika ubora wake kwa maslahi ya Watanzania wote? au Sofisticating and Sustaining Ufisadi, kuboresha na kujenga ngome ya ufisadi endelevu katika Tanzania kwa maslahi ya familia tatu?
Chagua.
Tell us when it was great?
 
Adui wa taifa ni CCM, Wakumuondoa huyo adui lazima atokee CCM.

We did a very big mistake in 2005
Adui ni adui tu na kuondoka kwake ni ushindi, haijalishi anaondolewa na nani. Kinachojalisha ni nani anasimama baada ya adui kuondoka?

Tulipigania uhuru, tukamfukuza mwingereza, lakini baada ya hapo leo tuko hapa na ccm. Tunahangaika na kutamani afadhari mara mia Mwingereza asingeondoka. Maana ukoloni wa Mwingereza ulikuwa ni mzuri mno ukilinganisha na ukoloni wa ccm.

Kumwondoa ccm bila kuwa na muundo sahihi wa uhuru, haki na maendeleo ya wote, ni kubadilisha mashetani tu.
 
Back
Top Bottom