Chama Kipya cha siasa - Umoja Party - Ni mwisho wa ccm, Ccm B au Upinzani?

Chama Kipya cha siasa - Umoja Party - Ni mwisho wa ccm, Ccm B au Upinzani?

Mimi nilidhani utatetea ubora wa CHADEMA, badalal ya kile nlichokikataa, ambacho Watanzania hatukitaki "The best available" hata kama hakikidhi mahitaji yetu.
Weka Tume huru uone balaa lake
 
Kama ni kweli safiii.

Kukopa hela za kujenga madarasa na kununua madawati ni anasa.
 
Vyama vingi vipi?/
Cha mzee RUNGWE unaita chama,
Vyama vya wale wasukuma wawili Cheyo na yule mwenzake unaita vyama? CUF pumba nacho Ni chama Cha upinzani au TLP.
HICHO UÑACHOONA KINAANDAMWA NA MAJAJI, SPIKA N.K NDIO CHAMA PEKEE CHA UPINZANI.

Siku ukiona serikali imepiga kitabu marufuku.
Tafuta hicho kitabu ukisome.
lengo lilikua anaetaka kuwa nahoja tofauti na ccm hajapata chama mbadala chakujiunga nacho,
 
Back
Top Bottom