Chama Kipya cha siasa - Umoja Party - Ni mwisho wa ccm, Ccm B au Upinzani?

Chama Kipya cha siasa - Umoja Party - Ni mwisho wa ccm, Ccm B au Upinzani?

Pamoja na wingi wa vyama vyote tulivyonavyo bado tunauhitaji wa chama kipya?
Ndiyo.

Vilivyopo vyote ni vya kikanjanja.
Tunahitaji kingine,huenda kitakuwa siriazi na kinaweza kupata maelfu ya watu wasio na vyama.
 
Vyama tunavyo vingi sana tunashida na katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi

Sikatai kwamba tunahitaji katiba safi na salama. Siyo hii inayojishusha hadhi na kujikabidhi machinjioni, na haina uwezo wa kujilinda wala kujisimamia.

Lakini tunahitaji muundo bora, sahihi na unaoangalial usalama na ustawi wa Tanzania.

Vyama vingi ni vibovu. Angalai ACT Wazalendo na haiba ya kiongozi wake mkuu. Utaamini Zito akuongoze katika kweli na haki?

CHADEMA kina watu wazuri sana kama Mbowe n.k, isipokuwa kina shape na sura ya ukanda na ukabila. Hiki hakitufai kwa taifa, isipokuwa kifumuliwe na kutegnenezwa upya ili kiwe na sura ya utaifa.

La sivyo, we deserve the best and not the best available.
 
Hata mimi nilimaanisha hicho hicho chi chi yee muuu
Sasa hawa naona ni wengine kabisa. Lakini hawawezi kuzaa watoto wao wakue ili wawasajili kwenye chama. Inategemea na kiwango chao, mipango ya muundo wao, ila wanayo nafasi ya kuungw amkono na watu waliochoka ndani na nje ya ccm kwa sababu hao ndio Watanzania. Mtu akihama chama maana yake naye hajaaridhishwa na chama anachokitoka na hivyo hana tena sifa ya kuomba msamaha kwa niaba ya chama ambacho hata yeye haridhiki nacho.
 
Sikatai kwamba tunahitaji katiba safi na salama. Siyo hii inayojishusha hadhi na kujikabidhi machinjioni, na haina uwezo wa kujilinda wala kujisimamia.

Lakini tunahitaji muundo bora, sahihi na unaoangalial usalama na ustawi wa Tanzania.

Vyama vingi ni vibovu. Angalai ACT Wazalendo na haiba ya kiongozi wake mkuu. Utaamini Zito akuongoze katika kweli na haki?

CHADEMA kina watu wazuri sana kama Mbowe n.k, isipokuwa kina shape na sura ya ukanda na ukabila. Hiki hakitufai kwa taifa, isipokuwa kifumuliwe na kutegnenezwa upya ili kiwe na sura ya utaifa.

La sivyo, we deserve the best and not the best available.
Umetaja vyama viwili tu Kati ya Mia pili umetoa maoni yako na mtazamo waku kwa vyama vya Chadema na ACT sio mtazamo wa Watu wote

Kwakifumbi uzuri na ubaya wa chama siambiwi na mtu
hoja yangu iko pale pale Tunataka katiba mpya kwanza then tume huru habari za chama kimpya kwangu sio kipaumbele katiba kwanza tuwaache wananchi wachague viongozi wanaowataka
Vyama vyotee vinaweza kuungana na kuunda serekali chama sio hoja ya kukadili
 
Naomba polepele afe kabla hajaleta madhara. Ee mungu ua hiki kiumbe
Bila shaka wewe ni ccm nyang'au. Mnaodhani mtaishi peke yenu na polisi bila Watanzania. Sahau.

Umeomba kwa mungu, hujui Mungu wa kweli anakuwazia nini. Usidhani Mungu siyo ccm inayotaka kuua kila asiyekwenda katika njia zao. Huo ni ugaid.
 
Pamoja na wingi wa vyama vyote tulivyonavyo bado tunauhitaji wa chama kipya?
Vyama vingi vipi?/
Cha mzee RUNGWE unaita chama,
Vyama vya wale wasukuma wawili Cheyo na yule mwenzake unaita vyama? CUF pumba nacho Ni chama Cha upinzani au TLP.
HICHO UÑACHOONA KINAANDAMWA NA MAJAJI, SPIKA N.K NDIO CHAMA PEKEE CHA UPINZANI.

Siku ukiona serikali imepiga kitabu marufuku.
Tafuta hicho kitabu ukisome.
 
Kwani hivyo vyama unavidharau sivimesajiliwa kisheria sawa na hicho unachotusumbua nacho
 
Back
Top Bottom