Chama, mchezaji wa game ndogo anapowafunika Lilepo na Shelulile

Tactically,sijaona simba ikiwa kwenye form yake,Simba imekutana na Horoya mbovu,kwa uchezaji ule wa Horoya hata wangakuwa Ihefu wangepata goli zaidi ya 3.
Hatua inayofuata ndio mwisho wa Simba (siyo kwa ubaya),sioni ikifurukuta huko mbele,naiona aibu kubwa kwa taifa ikiwa jirani.
#save my post
 
Hiyo Horoya uitayo mbovu Raja aliifunga ngapi?
 
Hiyo Horoya uitayo mbovu Raja aliifunga ngapi?
Raja aliifunga Horoya nje ndani,Simba imeifunga Horoya iliyojikatia tamaa kutokana na mwenendo mbovu wa matokeo na ufinyu wa nafasi ya wao kusonga mbele,kama Raja ingekutana na Horoya hii iliyojikatia tamaa ktk mizunguko hii ya mwishoni basi Horoya ingefungwa hata goli 10+.
Ushindi wa Simba kwa Horoya ni kama binti mrembo aliyedengua kuolewa akiwa 20's,anapofikisha 30-35 hapo hubebwa na yoyote tu.
Mwisho usimfie baba yako anakimbia sana,angalia na anayekimbia nae[emoji38][emoji38][emoji38]
 
VIpers 0 SeMBe 1
VIpers 1 Raja 1
Kwa hoja yako Raja ni mbovu kuliko SeMBe



Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Kwa nature ya game ya jana,na Horoya ilivyocheza,napata ukakasi sana kuiona Simba ni bora,na kama tutajiaminisha hvyo tutakuja kulia kilio cha kwi kwi cku si nyingi.
Hii Simba ni mbovu,ni basi tu jana mponzani alikuwa na mazonge yake...
 
Chama sio mchezaji wa mechi ndogo ndogo mfano vs yanga ligi kuu bara, chama ni level za kimataifa
 
Chama sio mchezaji wa mechi ndogo ndogo mfano vs yanga ligi kuu bara, chama ni level za kimataifa
Chama hajawahi kuwa 1st class,Africa tuna 3 levels za players chama ni mchezaji wa daraja la 2,hyo 1st class alishindwa kui-prove Uarabuni.
Ni mchezaji maji kupwa maji kujaa,hana consistence kwenye game kubwa kubwa.
Wachezaji daraja la chama ndio hawa tuliowajaza Simba,Yanga na Azam
 
ondoa yanga hapo weka ihefu
 
Mara chama hana speed, sijui kisinda anawapeleka wapi huko.

Chura hizi ziacheni kbs.
 

Viper na Horoyo nani alipaswa awe amekata tamaa. Shirikisha akili yako na kuzisoma namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…