Chama Tawala nchini Tanzania Chawatakia Wananchi wake heri ya Mwaka mpya 2022

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,128
Reaction score
1,896
===
Chama Cha Mapinduzi Tanzania ambacho ndio Chama Tawala cha nchi hiyo kimewatakia heri Wananchi wa nchi hiyo katika kuufika mwaka mpya wa 2022,

CCM chini ya Mwenyekiti wake Mhe Samia Suluhu Hassan ambae pia ni amiri Jeshi mkuu na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimewatakia heri raia wote wa Tanzania bila kujali itikadi za vyama vyao,

Watanzania endeleeni kuiunga mkono CCM-Tanzania ili kuwa na Tanzania imara itakayojenga hatma njema ya Watoto wa watoto wetu,





 
Usiposimama na CCM utasimama na Chama gani Tanzania?

Bila CCM imara hakuna Tanzania yeyote mjue,

Heri 2022 watanzania wenzangu
 
Kwakweli mama anaupiga mwingi sana,amesikia kelele za wananchi juu ya mvua na amewasikiliza wananchi mwaka umenza na mvua Mbeya,Dodoma,Arusha hii haijawai kutokea na kwakweli amejitaidi pamoja na changamoto zote za covid 19 kama alivyo bainisha kwenye hotuba yake Jana.Mama ni msikivu.
 
Mama haleti mvua, Acha kufuru
 
Hata mimi ninawatakia heri ya mwaka mpya watanzania wote....

Mtu mmoja akanianzishie thread na mimi wajameni
 
VIVA CCM, CCM NDIO CHAMA
 
Hili la mvua naunga mkono hoja. Mito imejaa maji mgao wa maji na umeme umeisha. Mitano tena kwa mama... atake asitake
 
Mama haleti mvua, Acha kufuru
Aliongoza watu kwenye dua, vuta kumbukumbu mkuu, mama ni msikivu mvua zinanyesha sasa,tuelekeze kelele kwenye bei ya mbolea bila kujali changamoto ya covid 19 naimani ata tusikiliza.
 
Ahsante.
Chama kinacho hubiri amani na kusimamia amani nchi.
watanzania wanakiamini na wataendelea kukiamini hadi mwisho wa dunia.
 

Hatuna Shida Na Heri Za Chama Cha Mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…