Chama Tawala nchini Tanzania Chawatakia Wananchi wake heri ya Mwaka mpya 2022

Chama Tawala nchini Tanzania Chawatakia Wananchi wake heri ya Mwaka mpya 2022

===
Chama Cha Mapinduzi Tanzania ambacho ndio Chama Tawala cha nchi hiyo kimewatakia heri Wananchi wa nchi hiyo katika kuufika mwaka mpya wa 2022,

CCM chini ya Mwenyekiti wake Mhe Samia Suluhu Hassan ambae pia ni amiri Jeshi mkuu na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimewatakia heri raia wote wa Tanzania bila kujali itikadi za vyama vyao,

Watanzania endeleeni kuiunga mkono CCM-Tanzania ili kuwa na Tanzania imara itakayojenga hatma njema ya Watoto wa watoto wetu,

View attachment 2064932

View attachment 2064933

View attachment 2064934
Mwenyekiti wa CCM akiwatakia heri ya mwaka mpya wanaccm.
Pichani anaonekana mwenyekiti wa CCM.
 
Back
Top Bottom