Chama Tawala nchini Tanzania Chawatakia Wananchi wake heri ya Mwaka mpya 2022

Asante sana.
 
Hilo la mvua halijakaa sawa,
 
Pelekeni lumumba hizo ngonjera zenu
 
Una akili kweli wewe?
 
Mkuu, mbona umeandika utadhani wewe ni raia wa England na sio wa Tanzania?[emoji16]
 
Pamoja na uhalifu wote walioufanya dhidi ya matendo ya kiutu na demokrasia katika chaguzi za 2019 na 2020, kweli hawa CCM bado wanathibutu kuja na salamu kama hizi?

Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi. Kwa mpenda mabadiliko yeyote yule atazipuuzia salamu hizo labda tu CCM kwa mwaka 2022 waridhie kwa dhati suala la katiba mpya.
 
CCM NDIO CHAMA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…