Chama Tawala Zambia chadai uchaguzi haukua huru na wa haki

Chama Tawala Zambia chadai uchaguzi haukua huru na wa haki

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao!

Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha.

Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani

Vyombo saidizi vya chamakijani,chakavu waache Watanzania waamue wenyewe kwenye box la kura, nawazuie zile za vibegi mgongoni . Tutawasahau mapeema saa nne asubuhi. Wanakijani wetu.
 
Those complaints only comes from defeated leaders from a free and fair election.
 
Foolishly, it is UNIP - Independence Party, - Kaunda.

Patriotic Front - Chiluba Party

Which one is Independence party. You lie for self fulfilling.
 
Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao!

Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha.

Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani

Siri ya mafanikio yao ni kwenye kuzuia wizi wa kura na kujizatiti
 
Maccm ya Zambia YAMEPIGWA chaliii!!!
Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao!

Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha.

Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani

Hapa ccm inasubiri tumwage damu hii habari Chanel ten wanaitangaza muda huu Safi Sana huu wembe unaisubiri ccm
Sahau,mm sio ccm lakini hakuna kijana TANZANIA jasiri hata mmoja
 
Wa Zambia tangu waikatae (CCM ya Zambia) UNIP ya Hayati Keneth Kaunda wanatapa tapa kweli, kila Mwaka wa Uchaguzi wanabadili chama Tawala lakin wapiiiii,

Walishachezea Shilingi chooni 1991 na sasa wanakula gharama ya mchezo waoa, hawana tofauti na Wamalawi
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom