Chama Tawala Zambia chadai uchaguzi haukua huru na wa haki

Chama Tawala Zambia chadai uchaguzi haukua huru na wa haki

Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao!

Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha.

Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani

Unajua nchi ikiwa wananchi wake wengi wakiwa wanajua KIZUNGU hata ustaarabu wao unafanana na kizungu, kama unashaka chunguza!
 
Hapa ccm inasubiri tumwage damu hii habari Chanel ten wanaitangaza muda huu Safi Sana huu wembe unaisubiri ccm
Utamwagwa wewe ccm ni ccp ya china vina mbinu nyingi sio kama hivyo vyama vya msimu.Technically Tzn ni monoparty state
 
Kumbe wananchi wakiamua polisi na jeshi haviwezi kukusaidia. Hongera nyingi kwa Rais Mpya na Wananchi wa Zambia.
Wananchi wapenda akuna mtu anayeweza kuwabadirisha,tabu ni wanasiasa ndio vigeugeu,akina Mbowe alitugeuka 2015 alivyo rushiwa kapi na ccm naye kaamua kulibeba,eti kabadilisha gia angani,tokea hapo mwanasiasa yeyote Tanganyika namwona mwongo tu,niwasaka furusa,hawasimamii wanachokiubiri.
 
Unaongelea Zambia ya Wapi? Mtu akifika Masaki au Ostybay anaweza aka conclude kama Wewee kuwa anaijua Tanzania ilivyo?

Soma takwimu za kiuchumi za kidunia kuanzia Per capital income ya TZ vs Zambia, GDP, unemployment rate halafu njoo kwmy maisha ya kawaida ya Raia wa kawaida wa Tanzania na Zambia angalia common items anazomiliki Mtanzania wa kawaida halafu tazama MZambia wa Kawaida

Katika Vinchi vyote vinavyotuzunguka hakuna Nchi yenye Welfare ya mtu mmoja mmoja kuliko Tanzania, wanatushinda Publicity tu, hao Rwanda kwenyewe na mbwembwe zote kwa Raia wa kawaida kumiliki TV ni moja ya anasa

Hata ukiangalia katika Nchi zote zinazotuzunguka kuanzia Kenya hadi Mozambique Idadi ya Raia wao waliopo kwetu kusaka maisha na fursa ni kubwa kuliko sisi tulio kwao hii ikimaanisha binadam huwa automatically ana kuwa migrated kwenda eneo bora zaid

Acheni kuhadaa watu wasiosafiri kuwaaminisha kuwa hivi vi nchi Takataka vinavyotuzunguka vina kitu cha maana sana kutuzidi
Umeshawahi kufika Zambia? Unaona their standard of living? Wametua cha mbali sana, nchi imestaarabika halafu unasema wanatapatapa?
 
Hata sie wabongo tunajielewa. Tattizo lipo polisi na tume na usalama wa taifa wanaibeba ccm.
Umesahau sheria kuhusu tume na uchaguzi kwa ujumla. Mfanyakazi wa tume ana kinga ya kushitakiwa, matokeo yakitangazwa hayapingwi mahakamani, nk nk. Kwa sheria zilizopo, Samia alipo sema ' hata mkiupigia upinzani CCM itatangazwa mshindi' alikuwa sahihi.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao!

Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha.

Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaongelea Zambia ya Wapi? Mtu akifika Masaki au Ostybay anaweza aka conclude kama Wewee kuwa anaijua Tanzania ilivyo?

Soma takwimu za kiuchumi za kidunia kuanzia Per capital income ya TZ vs Zambia, GDP, unemployment rate halafu njoo kwmy maisha ya kawaida ya Raia wa kawaida wa Tanzania na Zambia angalia common items anazomiliki Mtanzania wa kawaida halafu tazama MZambia wa Kawaida

Katika Vinchi vyote vinavyotuzunguka hakuna Nchi yenye Welfare ya mtu mmoja mmoja kuliko Tanzania, wanatushinda Publicity tu, hao Rwanda kwenyewe na mbwembwe zote kwa Raia wa kawaida kumiliki TV ni moja ya anasa

Hata ukiangalia katika Nchi zote zinazotuzunguka kuanzia Kenya hadi Mozambique Idadi ya Raia wao waliopo kwetu kusaka maisha na fursa ni kubwa kuliko sisi tulio kwao hii ikimaanisha binadam huwa automatically ana kuwa migrated kwenda eneo bora zaid

Acheni kuhadaa watu wasiosafiri kuwaaminisha kuwa hivi vi nchi Takataka vinavyotuzunguka vina kitu cha maana sana kutuzidi
Obviously wametushinda kwenye utawala wa sheria tuanzie hapo. Watu wamepiga kura na zinaheshimiwa. Fyi Zambia nimetembea pande zote kasoro Eastern province. Infrastructure zimesimama, mpangilio wa makazi uko mwake, kilimo wana practice mainly cha kisasa, chakula cha kutosha, nilienda dukani kununua Tv it is way cheaper than kwetu ambako tuna bandari this is also true for other electronics, in short I am personally impressed.
 
Tunahitaji kuwa na Chama imara cha upinzani mfano Chama hata kipoteze watu wake wa ngazi za juu Kwa vifo bado kutakuwa imara kama CCM.
 
Back
Top Bottom