Chama Tawala Zambia chadai uchaguzi haukua huru na wa haki

Chama Tawala Zambia chadai uchaguzi haukua huru na wa haki

Tume ya uchaguzi Zambia ipo huru, Edgar Lungu ajilaumu mwenyewe maana kipindi chake kahalibu Sana uchumi na Ile saga ya wachina kuutaifisha uwanja wao wa ndege lilikua doa kwenye utawala wake kwa hiyo kavuna alichopnda
 
wewe Raia wa nchi gani unataka kutafuniwa lianzishe hata wewe tutakuja kukuunga mkono
Mataga ni muoga kinoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787], kitanuka tu subiri hakuna refu lisilokua na mwisho, Ccm itaondoka na maisha yataenda kama kawa [emoji16][emoji16]
 
Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao!

Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha.

Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani


Kumbe wananchi wakiamua polisi na jeshi haviwezi kukusaidia. Hongera nyingi kwa Rais Mpya na Wananchi wa Zambia.

Upinzani wa Zambia sio sawa na upinzani wa Tanzania. Chadema mkajifunze kujenga chama na sio kujineemesha tuu na kuishia kulalamika

Pongezi kwa mshindi
 
Sijui Tanzania tumelogwa na nani!?
Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao!

Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha.

Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani

 
hizo nchi zina wapinzani smart toka zama hizo, huwezi kufananisha na vyama vyetu huku vinavyowaza uchaguzi kuliko kujijenga kwanza..
 
Kwani ccm ilishindwa kuwasaidia ndugu zao wa zambia.
Hao walishindwa vipi kuja kujifunza mbinu za kuiba kura.Au wameshindwa vipi kutumia dola kubakia madarakani.
Hao ni wazembe Sana.
 
Wa Zambia tangu waikatae (CCM ya Zambia) UNIP ya Hayati Keneth Kaunda wanatapa tapa kweli, kila Mwaka wa Uchaguzi wanabadili chama Tawala lakin wapiiiii,

Walishachezea Shilingi chooni 1991 na sasa wanakula gharama ya mchezo waoa, hawana tofauti na Wamalawi
Umeshawahi kufika Zambia? Unaona their standard of living? Wametua cha mbali sana, nchi imestaarabika halafu unasema wanatapatapa?
 
Hatimae Aikande Hichi Lema amekua rais wa Zambia. Ikumbukwe huyu Lema alishawahi kufunguliwa kesi feki ya kuhujumu uchumi na akaswekwa gerezani kwa siku 158 bila dhamana baadaye DPP akamfutia mashitaka.
Jina lenyewe limekaa kichaga chaga H. Aikande Hichi Lema.
Mashitaka feki ya uhujumu uchumi
Alooh.
Wiki ijayo naenda Zambia kunywa beer.
 
Umeshawahi kufika Zambia? Unaona their standard of living? Wametua cha mbali sana, nchi imestaarabika halafu unasema wanatapatapa?
Mrembo achana na misukule ambayo haijawahi kuvuka nje ya mipaka ya nji hii.
Let us discuss serious issues.
 
Hivi huko Zambia hakuna mipolice kama ya huku kwetu

Ila kuongea kiswahili kumetuathiri sana wadanganyika kwa sababu tumekuwa tegemezi sana uoande wa afya ya akili & kufikiri
 
Back
Top Bottom