Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Wabongo ni waoga balaa wacha wakatwe kwenye tigo, voda ,zantel na Airtel
Mataga ni muoga kinoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787], kitanuka tu subiri hakuna refu lisilokua na mwisho, Ccm itaondoka na maisha yataenda kama kawa [emoji16][emoji16]wewe Raia wa nchi gani unataka kutafuniwa lianzishe hata wewe tutakuja kukuunga mkono
matter of time.Hapa ccm inasubiri tumwage damu hii habari Chanel ten wanaitangaza muda huu Safi Sana huu wembe unaisubiri ccm
Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao!
Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha.
Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani
Kumbe wananchi wakiamua polisi na jeshi haviwezi kukusaidia. Hongera nyingi kwa Rais Mpya na Wananchi wa Zambia.
Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao!
Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha.
Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani
Umeshawahi kufika Zambia? Unaona their standard of living? Wametua cha mbali sana, nchi imestaarabika halafu unasema wanatapatapa?Wa Zambia tangu waikatae (CCM ya Zambia) UNIP ya Hayati Keneth Kaunda wanatapa tapa kweli, kila Mwaka wa Uchaguzi wanabadili chama Tawala lakin wapiiiii,
Walishachezea Shilingi chooni 1991 na sasa wanakula gharama ya mchezo waoa, hawana tofauti na Wamalawi
Kule Hakuna maiti
Mrembo achana na misukule ambayo haijawahi kuvuka nje ya mipaka ya nji hii.Umeshawahi kufika Zambia? Unaona their standard of living? Wametua cha mbali sana, nchi imestaarabika halafu unasema wanatapatapa?
Ila isingenogaHapo Bila ya kuitaja ccm Habari ingetosheleza
Asante MremboUmeshawahi kufika Zambia? Unaona their standard of living? Wametua cha mbali sana, nchi imestaarabika halafu unasema wanatapatapa?
Hata sie wabongo tunajielewa. Tattizo lipo polisi na tume na usalama wa taifa wanaibeba ccm.Wazambia na Wakenya huwa wanajielewa sana, Hongereni sana kwa mabadiliko hayo