Champion Investment matapeli Mwanza

Ukitazama lile groupnla whatsap,toka lianze hawajawahi kulifungua watu wakawahoji,wanakuletea video ya Uganda,haieleweki
 
Kwangua ushinde, maisha ni rahisi sana.... pole sana CHAMPION usichoke jaribu tena.
 
Mkuu , hawa ukienda nao mahakaman wanakushinda , wao n washauri wa maswala ya biashara kwa mujibu wa leseni yao...na wanaweza simamia hapo hapo na wakadai ulicholipa ni Fee ya kupata huduma yao , yaani ushauri wa kibiashara na sii vinginevyo

Uweze kuwashinda , jitahidi ukusanye taarifa za kutosha pamoja na viambatanisho nyenye mihuri na sahihi zao ..mf mikataba ya makubaliano et et

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Muda wote huo wanakua wamepewa shtaka la uhujumu uchumi mpk washinde kesi ni miaka 4 wakiwa ndani.
 
Hata hiyo SMS ya Mpesa ya 800k iko edited..tena kishamba

~neno salio ametumia herufi ndogo badala ya herufi kubwa- Salio
~neno Imethibitishwa limewekewa nukta
~mfumo original wa SMS ya Mpesa ya wakala sio huo
~(SMS hii iko kichwa chini miguu juu)

Pole.

Cha mjinga huliwa na mwerevu.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kujidhalilisha mkuu nimeandika kuwatahadharisha wengine lakini pia wahusika wajue kuwa sitakaa kimya nakula nao sahani moja mpaka kieleweke.
Huna lolote wewe!/tulia tu
 
Hapa ndiyo maajabu yanaanza niliona tu namba yangu imeunganishwa kwenye group lao. Nadhani Kuna mahali wanapewa namba za wateja wanaofanya miamala Mara kwa mara.
Sasa hapo ndo tabu Ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…