Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,461
Angekupa hiyo laki ange faidika vipi?[emoji16]Ningekuomba hiyo laki Wala usingenipatia Ila Kwa Matapeli ukawa na za kuwapatia. Pambana na Hali yako.
Hapewi pole mwenye kiranga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekupa hiyo laki ange faidika vipi?[emoji16]Ningekuomba hiyo laki Wala usingenipatia Ila Kwa Matapeli ukawa na za kuwapatia. Pambana na Hali yako.
Hapewi pole mwenye kiranga
Mkuu , hawa ukienda nao mahakaman wanakushinda , wao n washauri wa maswala ya biashara kwa mujibu wa leseni yao...na wanaweza simamia hapo hapo na wakadai ulicholipa ni Fee ya kupata huduma yao , yaani ushauri wa kibiashara na sii vinginevyoHabari za kazi wanajamvi.
Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria.
Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia mia moja.
Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435.
Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.
View attachment 1326287View attachment 1326288View attachment 1326289View attachment 1326290View attachment 1326291
Mkuu , hawa ukienda nao mahakaman wanakushinda , wao n washauri wa maswala ya biashara kwa mujibu wa leseni yao...na wanaweza simamia hapo hapo na wakadai ulicholipa ni Fee ya kupata huduma yao , yaani ushauri wa kibiashara na sii vinginevyo
Uweze kuwashinda , jitahidi ukusanye taarifa za kutosha pamoja na viambatanisho nyenye mihuri na sahihi zao ..mf mikataba ya makubaliano et et
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna lolote wewe!/tulia tuSiyo kujidhalilisha mkuu nimeandika kuwatahadharisha wengine lakini pia wahusika wajue kuwa sitakaa kimya nakula nao sahani moja mpaka kieleweke.
Sasa hapo ndo tabu Ni PMHapa ndiyo maajabu yanaanza niliona tu namba yangu imeunganishwa kwenye group lao. Nadhani Kuna mahali wanapewa namba za wateja wanaofanya miamala Mara kwa mara.
Sasa PM za nini? Mleta hoja angalia wajanja wengine humu wasije wakakuona ni fursa nyingine kwao na kukuliza tena.Sasa hapo ndo tabu Ni PM
Wapenda kitonga lazima wapigwe
Wapenda kitonga lazima wapigwe
Hakuna Hela rahisi rahisi lazimaaaa uumieeee
Tunapigika ila jioni lazima nkae kiti kirefu
Ova
View attachment 1326595
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo mashine naikubali ile mbaya mkuuWapenda kitonga lazima wapigwe
Hakuna Hela rahisi rahisi lazimaaaa uumieeee
Tunapigika ila jioni lazima nkae kiti kirefu
Ova
View attachment 1326595
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapigia kazi gani mkuuWapenda kitonga lazima wapigwe
Hakuna Hela rahisi rahisi lazimaaaa uumieeee
Tunapigika ila jioni lazima nkae kiti kirefu
Ova
View attachment 1326595
Sent using Jamii Forums mobile app