Chamwino, Dodoma: Rais Magufuli apokea Sakramenti Takatifu leo Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata

Natamani Sana kwenda kusali misa kwenye kanisa hilo
 
Kuna Jipya Leo Ama Nini Tena?😏😐🤨😑😶🤔
 
Umeshawahi kuona Padre mlemavu wa viungo au Padre mfupi?
Mapadre tunawajua vizuri sana.
 
Kumbe najizuiaga bure kwenda kukomunika aisee! Mapadre wanatishaga sana bwana, Mara sijui huruhusiwi ukiwa hivi mara vile, sijui unakula hukumu nk nk. Mbona huyu yupo vile na hivi na amekomunika?


Ekarsti Takatifu kifungo Cha umoja na upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…