Chamwino, Dodoma: Rais Magufuli apokea Sakramenti Takatifu leo Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata

Mheshimiwa Rais Dkt John Magufuli amepokea Sakramenti hiyo takatifu Kutoka kwa Padre Paul Mapalala wakati wa Misa ya Dominika ya 32 Mwaka "A"

View attachment 1622076View attachment 1622077View attachment 1622084View attachment 1622085View attachment 1622086View attachment 1622089View attachment 1622090View attachment 1622087
Huyo anakula mkate wala siyo Komunyo hiyo! Maana tunaambiwa ujipime kama unastahili kupokea kutokana na hali yako kosefu au umeshajiandaa! Huyu shetwani naomba nimuhukumu hapa hapa maana mikono yake inanuka damu anaenda kukomunika nini hapo?
 
Kumbe najizuiaga bure kwenda kukomunika aisee! Mapadre wanatishaga sana bwana, Mara sijui huruhusiwi ukiwa hivi mara vile, sijui unakula hukumu nk nk. Mbona huyu yupo vile na hivi na amekomunika?

Ekarsti Takatifu kifungo Cha umoja na upendo
Tumwache tu mkuu achukue dhambi zaidi! Huyu kwa mapadre wakorofi wangemwungamanisha kwa nguvu!
 
1604864125132.png

Huyu motheri naye mbona siku hizi kaharibikia hivyo? Ndiyo maana anatukanwa kila siku kwenye majukwaa!
 
Mheshimiwa Rais Dkt John Magufuli amepokea Sakramenti hiyo takatifu Kutoka kwa Padre Paul Mapalala wakati wa Misa ya Dominika ya 32 Mwaka "A"

View attachment 1622076View attachment 1622077View attachment 1622084View attachment 1622085View attachment 1622086View attachment 1622089View attachment 1622090View attachment 1622087
Rais ni mkatoliki safi na
kama alijianda kiroho kupokea ekaristi takatifu wewe unachoshangaa ni nini? Na walipokea humo ni waumini wengi tu kwa nini Rais ndio awe habari.
 
Hivi huyu Padre, ripoti za watu kudhulumiwa haki, kupigwa risasi za Moto na kuuawa kule Pemba hajazipata?
Kweli kabisa ndani ya moyo wake anaauamini huu ushindi wa kina Gwajima?
 
Rais ni mkatoliki safi na
kama alijianda kiroho kupokea ekaristi takatifu wewe unachoshangaa ni nini? Na walipokea humo ni waumini wengi tu kwa nini Rais ndio awe habari.
Ni habari kwa udhalimu alioufanya kwa Taifa. Huwezi kujifanya mnyenyekevu mbele ya Mungu kiasi hicho huku umeingia madarakani kwa wizi wa kura na kumwaga damu nyingi za raia wasio na hatia.
 
Mheshimiwa Rais Dkt John Magufuli amepokea Sakramenti hiyo takatifu Kutoka kwa Padre Paul Mapalala wakati wa Misa ya Dominika ya 32 Mwaka "A"

View attachment 1622076View attachment 1622077View attachment 1622084View attachment 1622085View attachment 1622086View attachment 1622089View attachment 1622090View attachment 1622087
Serikali ya Tanzania ni serikali isiyofuata dini yoyote.

Tanzania is a secular state.

Kwa nini mnajaza habari za rais kanisani hapa?

Kwa kuendekeza picha kama hizi, Waislamu na watu wengine wasio Wakristo wakianza kulalamika kwamba Tanzania inaongozwa kwa MfumoKristo mtakataa?
 
Anza na hao watu wanaopiga picha kanisani. Mbona kanisani kwingine hawaendi kupiga picha.
What image do they want to portray. What are they telling the world?
 
Mwizi akishaiba mara nyingi anakimbilia kanisani au msikitini kutubu na kusafisha jina.

Tatizo hata kanisani kutubu unatakiwa umuombe msamaha uliyemkosea pia.

Magufuli kujifaragua kwake kote kanisani kwamba yeye ni mtu wa dini, kama hajaomba msamaha kwa wizi wa kura, hizi picha za kanisani ni siasa tu.

Nyerere alikuwa anaenda kanisani St. Peters kila siku aliyokuwa Dar. Si Jumapili tu, kila siku. Akitoka Msasani kwenda Ikulu alikuwa anapitia kanisani St. Peters asubuhi. Kila siku.

Lakini alielewa "Separation of Church and State". Hatukuona picha zake akiwa kanisani magazetini.
 
Kuna mtu mmoja kwenye vikao vya chama alitamka kwamba ' CCM lazima ishinde, sio eti Mungu akipenda, no lazima ishinde, imeshindwa kweli hata kule Pemba'
 
Mheshimiwa Rais Dkt John Magufuli amepokea Sakramenti hiyo takatifu Kutoka kwa Padre Paul Mapalala wakati wa Misa ya Dominika ya 32 Mwaka "A"

View attachment 1622076View attachment 1622077View attachment 1622084View attachment 1622085View attachment 1622086View attachment 1622089View attachment 1622090View attachment 1622087
Maandiko yanatuambia kuwa kuna shetani anayejifanya malaika wa nuru. Angekuwa na imani thabiti angesita kujongea altare ya Bwana sababu mikono yake imejaa damu zisizo na hatia
 
Back
Top Bottom