Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Uzuri katika Imani Katoliki Unajipima Mwenyewe Rohoni mwako Kama Unastahili Kupokea Mwili Na Damu ya Yesu katika Hostia Takatifu.Kumbe najizuiaga bure kwenda kukomunika aisee! Mapadre wanatishaga sana bwana, Mara sijui huruhusiwi ukiwa hivi mara vile, sijui unakula hukumu nk nk. Mbona huyu yupo vile na hivi na amekomunika?
Ekarsti Takatifu kifungo Cha umoja na upendo
Hivyo Lazima amejipima na kuona anastahili.
Mimi na wewe tusihukumu tusije tukahukumiwa.
Zaburi 130:4