Chamwino, Dodoma: Rais Magufuli apokea Sakramenti Takatifu leo Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata

Chamwino, Dodoma: Rais Magufuli apokea Sakramenti Takatifu leo Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata

Hivi huyu Padre, ripoti za watu kudhulumiwa haki, kupigwa risasi za Moto na kuuawa kule Pemba hajazipata?
Kweli kabisa ndani ya moyo wake anaauamini huu ushindi wa kina Gwajima?
Hili kanisa limebaki kumsifu na kumruhusu kupanda madhabahuni kuongea uwongo wake,yani yamenajisi kanisa katoliki
 
Kumbe najizuiaga bure kwenda kukomunika aisee! Mapadre wanatishaga sana bwana, Mara sijui huruhusiwi ukiwa hivi mara vile, sijui unakula hukumu nk nk. Mbona huyu yupo vile na hivi na amekomunika?


Ekarsti Takatifu kifungo Cha umoja na upendo
Hiyo ni sawa na chips dume tu,mimi huwa na miaka kibao sikomuniki
 
Uzuri katika Imani Katoliki Unajipima Mwenyewe Rohoni mwako Kama Unastahili Kupokea Mwili Na Damu ya Yesu katika Hostia Takatifu.

Hivyo Lazima amejipima na kuona anastahili.
Mimi na wewe tusihukumu tusije tukahukumiwa.

Zaburi 130:4
Mikono yake imejaa damu za ben sanane,azory gwanda,lwijabe,akwilina,maiti za viroba etc....vipi niongeze sauti
 
Back
Top Bottom