Chamwino, Dodoma: Rais Magufuli apokea Sakramenti Takatifu leo Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata

Kumbe najizuiaga bure kwenda kukomunika aisee! Mapadre wanatishaga sana bwana, Mara sijui huruhusiwi ukiwa hivi mara vile, sijui unakula hukumu nk nk. Mbona huyu yupo vile na hivi na amekomunika?


Ekarsti Takatifu kifungo Cha umoja na upendo
Uzuri katika Imani Katoliki Unajipima Mwenyewe Rohoni mwako Kama Unastahili Kupokea Mwili Na Damu ya Yesu katika Hostia Takatifu.

Hivyo Lazima amejipima na kuona anastahili.
Mimi na wewe tusihukumu tusije tukahukumiwa.

Zaburi 130:4
 
Mungu hampunguzii mtu dhambi kwa kujipeleka kanisani uonekane,matendo yake heri angekua anasali kwa gwajima....damu na roho za watu zitamtafuna tu
 
Uzuri wa kumwaga damu ya mtu isio na hatia hakunaga msamaha kirahisi, halafu baada ya muda mfupi unaanza kuziona sura za uliowatoa roho zikikufuata kila ukilala.

Segerea na keko wengi wenye kesi za mauwaji huwa wana changanyikiwa.
 
Rais wetu JPM ni mchamungu kweli kweli.
Mungu ampe afya njema na uwezo mzuri zaidi wa kuongoza nchi yetu hata miaka mingine kumi zaidi Inshallah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…