Hivi huyu Padre, ripoti za watu kudhulumiwa haki, kupigwa risasi za Moto na kuuawa kule Pemba hajazipata?
Kweli kabisa ndani ya moyo wake anaauamini huu ushindi wa kina Gwajima?
Kumbe najizuiaga bure kwenda kukomunika aisee! Mapadre wanatishaga sana bwana, Mara sijui huruhusiwi ukiwa hivi mara vile, sijui unakula hukumu nk nk. Mbona huyu yupo vile na hivi na amekomunika?