Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,278
- 4,525
Acha roho ngumu weweTaifa stars 🇹🇿 0,.....Morocco 🇲🇦 4.....na mpira umemalizika...........alamck.
Labda wasimtaje Sa100Kama unaamini Tanzania tunavuka hatua hii, Like yako please👊
hawataaminiWapo watanzania walio bet kwamba Morocco itashinda
nenda jukwaa la siasa,Mtajijua wenyewe na li timu lenu la CCM! Oktoba hakuna kupiga kura
Hawa wakishinda wanasema asante mama acha wabamizwe tu.mana ata wakishinda ni faida yaoAcha roho ngumu wewe
Ivi kati ya mkeka wangu niliobet na uzarendo nitashangilia upande ganiNamuomba Mungu afanye wepesi
Taifa hamna raha bwana hapa nyumbani kwa shemeji azam tv na wifi ya bureee. Bora nienjoy kabla dada hajaachikaNenda Taifa