CHAN Finals: Live from Ivory Coast

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Hata wanazi wa liver leo tumekamua jamani, hata walipokuwepo kina etoo, tulionyesha tunaweza kwa hiyo Kana-ka-nsungu kubali tu tunajitahidi, kuwa mzalendo kidogo kaka
 
Na wewe pia kimekuuma! well

Politics na Siasa ni mapacha!!! wasiofanana! Tanzania oyeeeeeee!!! I mean unaweza kuendelea na kule kushangilia..

Ama kweli umezeeka vibaya, toka lini politics na siasa zikawa mapacha big head? No wonder hutaki kuambiwa kitu, akisema mtu huishi kulia ooh kina/kimekuuma... so insecure yaani.
 
Bora hii thread iachwe tu kwa muda,watu wengi wanapiata hapa angalao wafurahie ushindi wa timu yetu.Mungu Ibariki Tanzania
 
Mimi binafsi siyafagilii kabisa haya mashindano, sioni maana yake ni nini, nahisi hii idea ilitolewa na nchi ambazo hazina wachezaji wanaocheza Ulaya ili tu nao wapate sababu ya kukenua. Ushindi wowote utakaopatikana- tujue kwamba itakapokuja time ya mashindano 'serious' bado tutaendelea kuburuzwa kwa kuwa wenzetu hawatumii 'vifaru' vyao hapa. Mimi nataka tukicheza na Ivory Coast iwe ni first eleven yao regardless wachezaji wao wanacheza ulaya au uchina, kama ni Cameroon iwe hivyo hivyo- Eto' awepo,ikiwa hivi ndo tutapata true reflection ya kiwango chetu cha soka. Tuelewe kwamba hapa timu yetu inayoshiriki ni 'the best 11 tanzanian footballers' ndo wanashuka dimbani wakati wenzetu wanatutoa kamasi na wachezaji ambao hata hawajulikani and we are still struggling- lakini kama kawaida yetu- tunashangilia!!!

bwana wewe, kwani sisi tulicheza angani, tumewafunga kwenye nyasi zao regardless wamewachezesha akina nani. Tena kwa kukumbusha, kocha wa Ivory coast alikuja Kutuangalia katika chalenji pale uganda na kutuponda kwa kutumia kocha mgeni na haoni mpira wenyewe tunaocheza. akasema anatusubiri kwao........... kwanini tusisherehekee kwa kumlisha maneno yake. This is a big step in soka ya bongo, it means more points kwenye FIFA rankings, more respect, pia na recognition katika uso wa soka. So be it, Tumeshinda.
 
Ama kweli umezeeka vibaya, toka lini politics na siasa zikawa mapacha big head? No wonder hutaki kuambiwa kitu, akisema mtu ooh kina/kimekuuma... so insecure yaani.

hahahaha... uzee ni sehemu yetu sote. Mimi nimetangulia kufika tu..shangilia ushindi tu usianze kuleta ligi basi, umeshinda!!
 
Posted by Uwiano Maalum: "Kwamba thread kule jukwaa la Michezo inayohusiana na mchezo wa Taifa Stars and Ivory Coast haijaonekana au haina umuhimu hadi ianzishwe nyingine katika jukwaa la siasa?"

Uwiano Maalum,

Kitu "taratibu" na "rules" na "kufuata mipangilio" na "kanuni" Watanzania wengi hatuna.

Uking'ang'ani sana hivyo vitu utaonekana mleta ligi! Mbishi! Una-maindi vitu vidogo! Utatukanwa vibaya mno.

Si unaona, mtu anakubali kakosea kwa sababu ya uzee, halafu anakuja kusema "unaleta ligi."

Kama uko tayari kulipa gharama kusulubiwa unapochangia uwezavyo ku defy huo utamaduni kanyaga twende.
 
Taifa Stars oyee!!! Kuna wakati wa kushangilia na wakati wa kuleta ligi.. wakati huu ni wa kushangilia..hureeeee!! yupieeee!

whistling, drinking fanta... and lmao!!
 
Mimi binafsi siyafagilii kabisa haya mashindano, sioni maana yake ni nini, nahisi hii idea ilitolewa na nchi ambazo hazina wachezaji wanaocheza Ulaya ili tu nao wapate sababu ya kukenua. Ushindi wowote utakaopatikana- tujue kwamba itakapokuja time ya mashindano 'serious' bado tutaendelea kuburuzwa kwa kuwa wenzetu hawatumii 'vifaru' vyao hapa. Mimi nataka tukicheza na Ivory Coast iwe ni first eleven yao regardless wachezaji wao wanacheza ulaya au uchina, kama ni Cameroon iwe hivyo hivyo- Eto' awepo,ikiwa hivi ndo tutapata true reflection ya kiwango chetu cha soka. Tuelewe kwamba hapa timu yetu inayoshiriki ni 'the best 11 tanzanian footballers' ndo wanashuka dimbani wakati wenzetu wanatutoa kamasi na wachezaji ambao hata hawajulikani and we are still struggling- lakini kama kawaida yetu- tunashangilia!!!
ukikaa sana majuu akili zenu zinakuwa kama bata......

.....kwani ivory coast walikuwa 7 uwanjani?

......wewe ianekana huu mshabiki hujui soka na kama sikosei umeanza kujua soka enzi hizi za DSTV na timu yako itakuwa ama liverpool ama chelsea.....
 
Mkuu Mwenyewe, haya mashindano haya-count kwenye FIFA rankings. Mashindano yote yenye limitations kama vile age-categories (U-17, U-20 etc) na haya ya wachezaji wa ligi za ndani TU, hayahesabiwi na FIFA.
 
Bora hii thread iachwe tu kwa muda,watu wengi wanapiata hapa angalao wafurahie ushindi wa timu yetu.Mungu Ibariki Tanzania

Hapa ni jukwaa la siasa, wapenda michezo wanajua jukwaa lao liko wapi. Mtembelea jukwaa la siasa kama anataka habari za michezo atakwenda huko. Unless iwe breaking news ya kweli, lakini hii sio breaking news.

Thread kuhusu Taifa Stars na hili game ipo toka masiku kadhaa yaliyopita, na watu walikuwa wanalifuatilia hilo game sekunde kwa dakika, kwa hiyo hii sio breaking news!

Kwa habari zaidi ya yaliyojiri gonga hapa
 
very good! now tuendelee kushangilia!!!!
 
Mkuu Mwenyewe, haya mashindano haya-count kwenye FIFA rankings. Mashindano yote yenye limitations kama vile age-categories (U-17, U-20 etc) na haya ya wachezaji wa ligi za ndani TU, hayahesabiwi na FIFA.

Nashkuru Curious kwa kunikumbusha hilo, ila still it will count kwa wachezaji wetu.. Nadhani any sensible agent atavutiwa na chochote kilichofanywa na wachezaji wa stars kuwafunga Ivory Coast (mwenyeji). Still it makes a difference.
 
More over, hii ni CV kwa wachezaji wetu.......... Nakumbuka Idrousou Kameni alipata nafasi ya kucheza ulaya kwa kuondoa michomo na penati za wa-argentina katika mashindo ya olimpiki mwaka 2000. that wa an age category competition too. So viva mrisho Ngasa
 
Na wewe pia kimekuuma! well

Politics na Siasa ni mapacha!!! wasiofanana! Tanzania oyeeeeeee!!! I mean unaweza kuendelea na kule kushangilia..

Mkuu kweli unazeeka, Siasa hadi kwenye michezo.
Hongera Taifa Stars.
 
Mod unganisha hii thread kule.

subiri kwanza watu waone ushindi halafu itaenda huko mbona una papara wewe?inakukera nini hasa?wengine wageni hapa na hili jukwaa unalosema hatulijui.hili jukwaa maarufu wacha ikae kidogo kwanza basi au siyo?
 
Mimi sioni cha kuchangilia tungekuwa na pointi sita hapo sawa!Bado kabisa hatujawa na matumaini ya kusonga mbele!
 
Hapa ni jukwaa la siasa, wapenda michezo wanajua jukwaa lao liko wapi. Mtembelea jukwaa la siasa kama anataka habari za michezo atakwenda huko. Unless iwe breaking news ya kweli, lakini hii sio breaking news.

Thread kuhusu Taifa Stars na hili game ipo toka masiku kadhaa yaliyopita, na watu walikuwa wanalifuatilia hilo game sekunde kwa dakika, kwa hiyo hii sio breaking news!

Kwa habari zaidi ya yaliyojiri gonga hapa

Sasa na wewe mkuu issue ni breaking news au hii thread kuwa hapa?

Halafu inashangaza mtu unapinga kitu at the same time unafanya kitu hicho hicho.Unapinga thread kuwa hapa at the same time unasema "kwa habari zaidi ya yaliyojiri Gonga hapa " halafu unarudi kulekule.Duh,kubisha kwingine noma,unoko!
 
Back
Top Bottom