Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe pia kimekuuma! well
Politics na Siasa ni mapacha!!! wasiofanana! Tanzania oyeeeeeee!!! I mean unaweza kuendelea na kule kushangilia..
Mimi binafsi siyafagilii kabisa haya mashindano, sioni maana yake ni nini, nahisi hii idea ilitolewa na nchi ambazo hazina wachezaji wanaocheza Ulaya ili tu nao wapate sababu ya kukenua. Ushindi wowote utakaopatikana- tujue kwamba itakapokuja time ya mashindano 'serious' bado tutaendelea kuburuzwa kwa kuwa wenzetu hawatumii 'vifaru' vyao hapa. Mimi nataka tukicheza na Ivory Coast iwe ni first eleven yao regardless wachezaji wao wanacheza ulaya au uchina, kama ni Cameroon iwe hivyo hivyo- Eto' awepo,ikiwa hivi ndo tutapata true reflection ya kiwango chetu cha soka. Tuelewe kwamba hapa timu yetu inayoshiriki ni 'the best 11 tanzanian footballers' ndo wanashuka dimbani wakati wenzetu wanatutoa kamasi na wachezaji ambao hata hawajulikani and we are still struggling- lakini kama kawaida yetu- tunashangilia!!!
Ama kweli umezeeka vibaya, toka lini politics na siasa zikawa mapacha big head? No wonder hutaki kuambiwa kitu, akisema mtu ooh kina/kimekuuma... so insecure yaani.
ukikaa sana majuu akili zenu zinakuwa kama bata......Mimi binafsi siyafagilii kabisa haya mashindano, sioni maana yake ni nini, nahisi hii idea ilitolewa na nchi ambazo hazina wachezaji wanaocheza Ulaya ili tu nao wapate sababu ya kukenua. Ushindi wowote utakaopatikana- tujue kwamba itakapokuja time ya mashindano 'serious' bado tutaendelea kuburuzwa kwa kuwa wenzetu hawatumii 'vifaru' vyao hapa. Mimi nataka tukicheza na Ivory Coast iwe ni first eleven yao regardless wachezaji wao wanacheza ulaya au uchina, kama ni Cameroon iwe hivyo hivyo- Eto' awepo,ikiwa hivi ndo tutapata true reflection ya kiwango chetu cha soka. Tuelewe kwamba hapa timu yetu inayoshiriki ni 'the best 11 tanzanian footballers' ndo wanashuka dimbani wakati wenzetu wanatutoa kamasi na wachezaji ambao hata hawajulikani and we are still struggling- lakini kama kawaida yetu- tunashangilia!!!
Bora hii thread iachwe tu kwa muda,watu wengi wanapiata hapa angalao wafurahie ushindi wa timu yetu.Mungu Ibariki Tanzania
Hapa ni jukwaa la siasa, wapenda michezo wanajua jukwaa lao liko wapi. Mtembelea jukwaa la siasa kama anataka habari za michezo atakwenda huko. Unless iwe breaking news ya kweli, lakini hii sio breaking news.
Thread kuhusu Taifa Stars na hili game ipo toka masiku kadhaa yaliyopita, na watu walikuwa wanalifuatilia hilo game sekunde kwa dakika, kwa hiyo hii sio breaking news!
Kwa habari zaidi ya yaliyojiri gonga hapa
LMAO,Laughing My Ass Off.............lmao!!
Mkuu Mwenyewe, haya mashindano haya-count kwenye FIFA rankings. Mashindano yote yenye limitations kama vile age-categories (U-17, U-20 etc) na haya ya wachezaji wa ligi za ndani TU, hayahesabiwi na FIFA.
very good! now tuendelee kushangilia!!!!
Na wewe pia kimekuuma! well
Politics na Siasa ni mapacha!!! wasiofanana! Tanzania oyeeeeeee!!! I mean unaweza kuendelea na kule kushangilia..
Mod unganisha hii thread kule.
Hapa ni jukwaa la siasa, wapenda michezo wanajua jukwaa lao liko wapi. Mtembelea jukwaa la siasa kama anataka habari za michezo atakwenda huko. Unless iwe breaking news ya kweli, lakini hii sio breaking news.
Thread kuhusu Taifa Stars na hili game ipo toka masiku kadhaa yaliyopita, na watu walikuwa wanalifuatilia hilo game sekunde kwa dakika, kwa hiyo hii sio breaking news!
Kwa habari zaidi ya yaliyojiri gonga hapa