Maajabu tumetolewa
Maajabu tumetolewa
Hakuna cha maajabu wameshindwa kulinda goli!maajabu sana
Yaani glasi yangu nimeivunja na kutolewa tumetolewa....Afanaaleki kufa hakuna breki....mbuzi wa maskini hazai.....siku ya kufa miti nyani wote huteleza......
Anyway JK Boyz wamesukuma cha ndimu lakini.....
Wakuu kwani baada ya mechi hizi msimamo wa kundi la Stars uko vp??,nachanganyikiwa hapa
senegal wana point 6 sisi 5 arrrrrrrrggggWakuu kwani baada ya mechi hizi msimamo wa kundi la Stars uko vp??,nachanganyikiwa hapa