CHAN Finals: Live from Ivory Coast

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

They couldn't just defend for 5 fucking minutes!!!!!!!!! 😡
 
Yaani glasi yangu nimeivunja na kutolewa tumetolewa....Afanaaleki kufa hakuna breki....mbuzi wa maskini hazai.....siku ya kufa miti nyani wote huteleza......
Anyway JK Boyz wamesukuma cha ndimu lakini.....
 
jamani ni hatujapita kwani senegal na wenyeji vipi
 
Haya tujiandae kuangalia Carling Cup Kesho. Hapa hukurasa umefungwa. Tanzania, tunazidi kupanda kisoka si haba.
 
Yaani glasi yangu nimeivunja na kutolewa tumetolewa....Afanaaleki kufa hakuna breki....mbuzi wa maskini hazai.....siku ya kufa miti nyani wote huteleza......
Anyway JK Boyz wamesukuma cha ndimu lakini.....

Wakuu kwani baada ya mechi hizi msimamo wa kundi la Stars uko vp??,nachanganyikiwa hapa
 
Koniec Ivory Coast 0 - 0 Senegal
Koniec Zambia 1 - 1 Tanzania

FULL TIME

Ttizo tulipofunga baada ya kuomba sala sisi tunabakia simba na yanga
 
Back
Top Bottom